#COVID19 Mchungaji Mastai: Kuchukua tahadhari dhidi ya Corona hakuhitaji kusubiri tamko la Rais

Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT kimara amewataka waumini wake kuchukua tahadhari dhidi ya Corona kwa sababu siyo kila jambo ni lazima Rais atoe kauli.

Mchungaji amesema kama unaona kuna tatizo mbele ni lazima uchukue tahadhari kwa sababu akili unazo.

Nawatakia Kwaresma yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Ndo anapata akili saa hizi kumekucha?
 
Wanatapika wanageuka wanakula.

Hawa watumishi wa Bwana wamejishushia hadhi kwa kufuata mkumbo.

Huku wakijua mtaji wao ni poshi za waumini lakini walishindwa kuwapa tahazari.
Hawa waliojianzishia makanisa yao kamwe usiwaamini maana plan yao ni kutafuta fweeezaaa tu
 
Back
Top Bottom