Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Ukitaka kupambana na drug lords inabidi uwe umenyooka yaani ww huna skeleton kwenye kabati! Otherwise watakufukunyua na utashangaa! Na mke wake aliandika huko insta quote "mama daud mwenyewe" end of quote, huyo ni mke wa daud bashite kwenye page yake kaandika hivyo sasa sisi huku tusemeje?
 
So what? Awe ana zero au hana so long anafanya kazi zake vizuri haina shida. We don't care about the colour of the cat so long it catches mice
Suala hapa sio kufanya kazi au kutofanya kazi, suala ni jinai ya kugushi cheti
 
Sawa! Swali ni kwamba huyu Gwajima nimuimba taarabu au mchungaji? Mchungaji kazi yake ni kuelekeza jamii juu ya kweli ya Mungu sio kushindana maneno na kuchafuana katika majukwaa! Hio ni kazi ya wanasiasa na waimba taarabu, kikwete aliwahi kusema nanukuu "ukiwa mtu mzma sio kila kitu unaambiwa unakataa au unakubali tu, akili za kuambiwa changanya na za kwako" Yesu pia alisema "ya kaisari apewe kaisari na ya Mungu apewe Mungu" sasa hapo utajua Gwajima yupo upande upi
 
Patamu eti..hivi mlikuwa wap...kwan cheti ni chake au jina ndo sio lake ..kama mahakama ilikubali kubadili jina ..whats wrong wit dat..MBONA NIWATU LUKUKI WALIKUWA NA MFUMO WA KUNUNUA JINA KUENDELEA NA ELIMU ...HIZI PUMBA .

Sent from my LG-P768 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiye unayechosha. Ukitupa jiwe kwenye mzinga wa nyuki wakakubg'ata utawauliza walikuwa wapi wasikung'ate kabla ya kuwatimua kwa jiwe? Hilo swali au ujuha?
Ujuha ni aina ya mtu kama wewe.yaani asiyejiongeza kataka akili yake ijue kuna nini kinaendelea kwenye malumbano ya hawa watu
 
Huu mkoa utauhama siyo kwakua maisha magumu ila unasemwa sana yaani sana, sasa hivi RC ndiyo kasababisha kila mtu aukodolee.

Anayeweza mkoa huu ni Mzee Yusuph Makamba, William Lukuvi, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri(RiP), Sadick Medick, na siyo wenye vyeti feki else watachimbuliwa na kuchambuliwa kama karanga if they mess!
 
Makonda haya yalioyoandikwa humu yasikuumize kichwa,endelea kuchapa kazi bro.Tunaoelewa unachokifanya tutaendelea kuku-support.
 
Wanaoshabikia kauli zake wana lao jambo kuhusu RC Makonda.

Humu jamvini wanachama wako kila sehemu ya ndani na nje ya nchi, hivyo wenye kumwamini Mchungaji Gwajima, kwa nini wasifanye utafiti rahisi tu:
1) Ofisi ya Kabidhi Wasii kuna taarifa za kuzaliwa na vifo vya raia.
2) Shule na Vyuo kuna majina na picha za waliosoma hapo.

BUSARA NA JUHUDI KIDOGO TU YAHITAJIKA KUBAINI UWONGO NA UKWELI
 
hicho cheti cha mwenzie ni cha la 7 ama form 4?
Ukiwa na tabia ya kutumia vyeti bandia utaendelea nayo mpaka ikuangamize.
Iwe ni cheti cha nursery au STD VII ni kufoji tu. Hujawahi sikia/ona watu wanafoji vyeti vya ndoa na vifo??
 
Hii ndiyo mara ya kwanza katika historia ya viongozi waliotawala Mkoa wa DSM ambapo Mkuu wa Mkoa anatumia cheti kisicho chake halafu wapambe wake wanatetea jinai aliyofanya.
 
Sakata la Makonda

Najiuliza:-

1. Kwanza tangu lini MTU aliyepata div 0 akapata cheti cha Necta?

2. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero wakati Serikali haitoi cheti hicho cha Zero?

3. Ni lini Baraza la mitihani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliyehitaji hata kama sio vyake?

4. Inawezekana vipi Watu wawili kumiliki vyeti original vya aina moja?

5. Watumishi wote wa umma na wa Serikali walifanyiwa zoezi la uhakiki wa vyeti, kama Gwajima alikuwa navyo vyeti original na ana uhakika Makonda anadanganya juu ya vyeti vyake alikuwa wapi kujitokeza kumuwekea pingamizi Makonda mpaka asubiri aguswe kwanza ndio aibuke?

Shilatu E. J
usituletee UBASHITE hapa nilifikiri ungebandika hizo original zake ilikukata mzizi wa fitina tuendele na mengine
 
Mnaungana na huyu tapeli kipitia kanisa...ila kuna kitu hamkijui....mteuzi wa raisi kama mkuu wa mkoa,wilaya kwenye katiba yetu haijazuia raisi kumteua mtu mwenye kiwango kidogo cha elimu...hta akiwa hajui kusoma na kuandika raisi anayo haki ya kumteua huyo mtu ilimradi anaimani nae kwa kua anamwakilisha yeye katika eneo husika na ndo maana hamna kutuma maombi ili kuteuliwa...gwajima wacha aseme kila awezalo ila kwa uongozi wa kiroho hafai maana ni mtu wa kulipiza jema kwa baya na hata biblia imekataza...makonda awe anavyeti feki au sahih hilo ni chaguo la raisi na hamna wa kumwajibisha.
 
Hata hivyo ukiwa na akili timamu unaelewa tu huu ni upuuzi...mtu aliyepta dv 0 hana cheti huyo sasa hivo anavyo sema anavyo vimetoka wapi...wajinga ndo hushikiwa akili lakin ukiishi kwa fikra huru unaelewa huu ni upuuzi na kwa gwajima anaeonyesha alivo na kiwango kidogo cha hekima kulingana na kazi yake ya uchungaji.
 
Back
Top Bottom