Jifunze kusoma comment na kuzielewa kwanza kabla ya kukurupuka na kuanza kuharisha hovyo tu humu,Acha kutetea ujinga.angekuwa anajisomea kama wenzie asingepata zero mkuu
Uko sahihi kabisa mkuu, vile vitoto vya Fesibuku na Insta vyote vimekimbilia huku,mtu akiokota kapicha huko anakuja kukafungulia thd JF.nashauri kuwe na IQ test kujiunga na jamii forum naona sasa wale wa facebook na istagram wamevamia. nilikuwa najifunza vitu vingi kupitia hapa lakini kwa sasa....mmmh!!!
Hao walioko kwenye picha hawamo humu? Kama wamo, watoe uthibitisho wa uhalali wa picha hiyo.![]()
Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.
Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
haijalishi mkuu. kikubwa ni mwisho wake alipata marks ngapi au grade ipi?Huwezi kumhukumu mtu kwa kuangalia picha tu,huwezi jua huyo aliyelala pengine siku hiyo alikua hajisikii vizuri,pengine alikua ana umwa na kichwa so,akaamua ajipumzishe kidogo,
Pia upo uwezekano kua huenda labda yeye alianza mapema zaidi ya hao wenzake kujisomea na hapo wenzake walikua wanamalizia jambo fulani tu dogo so, yeye akaamua apumzike,
Ziko sababu nyingi tu za kuitafsiri hiyo picha ila mleta mada umeamua kuitafsiri in a negative way only,
Naona Jamii forums sasa inageuka na kua kawa Instagram,kuna team Makonda na kuna team Wema!!
JF irejeshe hadhi yake,sio kila unachokiokota huko kwenye magroup ya WhatsApp basi unakimbia mbio kuja kuanzisha thd humu, sio kwamba nawapangia watu vitu vya kujadili hapana sina maana hiyo, jf irudi katika ubora wake.
Uko sahihi kabisa mkuu. Ile JF iliyozoeleka kwa hoja makini na mambo yake makubwa katika kuelimisha na kuchambua mijadala ambapo ilijitanabahi kwa jina la Home of Great Thinkers , imepotea.Huwezi kumhukumu mtu kwa kuangalia picha tu,huwezi jua huyo aliyelala pengine siku hiyo alikua hajisikii vizuri,pengine alikua ana umwa na kichwa so,akaamua ajipumzishe kidogo,
Pia upo uwezekano kua huenda labda yeye alianza mapema zaidi ya hao wenzake kujisomea na hapo wenzake walikua wanamalizia jambo fulani tu dogo so, yeye akaamua apumzike,
Ziko sababu nyingi tu za kuitafsiri hiyo picha ila mleta mada umeamua kuitafsiri in a negative way only,
Naona Jamii forums sasa inageuka na kua kawa Instagram,kuna team Makonda na kuna team Wema!!
JF irejeshe hadhi yake,sio kila unachokiokota huko kwenye magroup ya WhatsApp basi unakimbia mbio kuja kuanzisha thd humu, sio kwamba nawapangia watu vitu vya kujadili hapana sina maana hiyo, jf irudi katika ubora wake.
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.
Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.
Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.
Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
=======
PAUL MAKONDA:
1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite
3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.
4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).
5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.
6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.
7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).
8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.
9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.
10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.
11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.
12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.
13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite
19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.
20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
Ni kweli usemavyo lakini tukirud katika uhalisia Na kujarbu kufkiria Mara mbili, tutagundua kuwa katika hali ya kawaida hamnaga masuala ya kupigana picha wakati wa kunyoosha msuli, hivyo inaonekana hao jamaa walifanya hivyo kwa Nia ya kubaki na kumbukumbu pengine kwa sababu Mr.Daudi alizoea kuuchapa wakati wa misuliHuwezi kumhukumu mtu kwa kuangalia picha tu,huwezi jua huyo aliyelala pengine siku hiyo alikua hajisikii vizuri,pengine alikua ana umwa na kichwa so,akaamua ajipumzishe kidogo,
Pia upo uwezekano kua huenda labda yeye alianza mapema zaidi ya hao wenzake kujisomea na hapo wenzake walikua wanamalizia jambo fulani tu dogo so, yeye akaamua apumzike,
Ziko sababu nyingi tu za kuitafsiri hiyo picha ila mleta mada umeamua kuitafsiri in a negative way only,
Naona Jamii forums sasa inageuka na kua kawa Instagram,kuna team Makonda na kuna team Wema!!
JF irejeshe hadhi yake,sio kila unachokiokota huko kwenye magroup ya WhatsApp basi unakimbia mbio kuja kuanzisha thd humu, sio kwamba nawapangia watu vitu vya kujadili hapana sina maana hiyo, jf irudi katika ubora wake.
Soma tenaPatamu eti..hivi mlikuwa wap...kwan cheti ni chake au jina ndo sio lake ..kama mahakama ilikubali kubadili jina ..whats wrong wit dat..MBONA NIWATU LUKUKI WALIKUWA NA MFUMO WA KUNUNUA JINA KUENDELEA NA ELIMU ...HIZI PUMBA .
Sent from my LG-P768 using JamiiForums mobile app
Lakini kapicha kanafundisha kituUko sahihi kabisa mkuu, vile vitoto vya Fesibuku na Insta vyote vimekimbilia huku,mtu akiokota kapicha huko anakuja kukafungulia thd JF.