Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

101cd76ba5e3bcdffc24153d4616472b.jpg

Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.

Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
Hiyo pichwa ilipostiwa mtandaoni na mmoja wa walio kwenye picha hiyo mara tu baada ya makonda kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa, alipost akimaanisha ' huwezi jua kesho utakuwa wapi' nakumbuka mpaka aliepost alipigiwa simu na clouds kuhojiwa maswali kadhaa
 
yani makonda alitaka watu wasijadili dar kuwa ya mwisho, akaleta sakata la mihadarati lakini naona yatamtokea puani sasa
 
101cd76ba5e3bcdffc24153d4616472b.jpg

Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.

Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
Duh Leo mkuu wa mkoa
 
Huu mkoa utauhama siyo kwakua maisha magumu ila unasemwa sana yaani sana, sasa hivi RC ndiyo kasababisha kila mtu aukodolee.
 
Ndio maana anapotezea sana suala la matokeo mabaya ya kidato cha nne Mkoa wa Dar es Salaam kumbe mwenyewe kichwa maji alipiga zero
 
Wanafunzi WA Dar asa wale walio katika Shule Za kata wengi wao awafiki shule utawakuta wamejazana kwenye fukwe za bahari (Beaches) mbaya zaidi wakiwa wamevaa sale Za Shule. Nadhani wahusika wawachukulie ataua pamoja na jamii endapo watakutwa uko mida ya shule wakiwa na sale Zao
Sidhani kama hiyo ni sababu ya kufeli mimi nilikua mzee wa umabo ila sikutaga.
 
nashauri kuwe na IQ test kujiunga na jamii forum naona sasa wale wa facebook na istagram wamevamia. nilikuwa najifunza vitu vingi kupitia hapa lakini kwa sasa....mmmh!!!
 
101cd76ba5e3bcdffc24153d4616472b.jpg

Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.

Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
Wenzake wanakula book yeye ametia mbonji. Ndio maana disco kibao
 
Miaka mingi huko Sumve wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza kulikuwa na mzungu aliyeitwa Jonathan,nyumbani kwa Jonathan ndio ilikuwa sehemu pekee iliyokuwa na bomba la kupampu (kama ya Hesawa) basi kila asubuhi majirani wa Jonathan walikuwa wakifika nyumbani kwake kwa minajiri ya kuchota maji lkn walikuwa wakipata wakati mgumu sana kumuamsha asubuhi maana majirani wale walikuwa wakishindwa kabisa kutamka jina Jonathan (ni kawaida ya wasukuma kushindwa kutamka baadhi ya majina , mfano Abdallah huwa anaitwa Bundallah au Magdalena anaitwa Madelena) .Kuondoa usumbufu huo kila walijaribu kuita jina lake kwa shida,Jonathan aliwaambia "call me J" baada ya hali ile kujirudia kwa muda wenyeji wale walijiridhisha kabsa kwamba jina lingine la Jonathan ni call me J=Kolomije ( likoromije ghete' kwa maana hili linaitwa Likoromije),hapo ndipo mwanzo wa jina hiliKolomije,miaka ikapita baadae akazaliwa Gwajima na miaka ikapita zaidi akazaliwa Daudi na kwa taarifa tu kila ndege inayopita kwenye anga la Kolomije huwa inaitwa Gwajima.
Karibuni kwa maswali
Nimecheka sana.
 
Huku si ni kudanganya mchana kweupe, mm nafikiri mtu anaweza kuwa na matokeo ya mtu lakini si cheti chake au hata result slip kwa sababu hivi vitu hutolewa kwa muhusika tuu, na kama mtu alifeli cheti huwa hapewi au necta huwa wanabaki na cheti cha ziada kwa mhitimu? je kama ndiyo hivyo huyu anayesema ana ushahidi kwa maana ya vyeti yeye kavitoa wapi? au mtuhumiwa mwenyewe kaamua kuvujisha siri zake mwenyewe?
Wakikitaka cheti chako kinapatikana tu. Hata huko necta kuna watu ambao anawakera kwa hiyo lazima cheti kipo. Kuna sehemu aliomba kazi vitakuwepo tu wala hii siyo siri. Hata ndani ya nyumba kuna ambao hakubaliani naye kwenye mitaa anakokaa wale pia siyo Wema. Ukiwa na busara watakusitiri lakini ukimchimba kila mtu watakuchimba na wewe
 
Back
Top Bottom