Teh teh teh Mkuu taratibu utauaPovu la nn mkuu...unashindwa hata kutulia ukaandika ukaeleweka??? Mwambie Daudi Bashite aweke vyeti vyake hadharani amalize hii ishu.
Tunachojua mpaka sasa ni kwamba kiumbe yule form four alipata zero....zero...alizungusha yaani...zero yaani...yaani zero ina maana hajui kila kitu...ingekuwa hata four afadhali...zero yaani..
Nimeelewa Mkuu, mi ni mbovu wa numeraliUmeelewa lakini.
Najaribu kuwaza kama haya yangesemwa kipindi cha uhakiki wa vyeti kwa watumishi ingefaa zaidi.Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Itakua mwaka huo vilitolewa MkuuNecta wanatoa vyeti kwa waliozungusha??
Jamaa kashika sehem nyetGwajima tupostie vyeti vya mtu yule kidadeki siafu kakamata korodani za daudi bashite tuone kama hatavua nguo amtoe
Mimi macho kodo nione utupu wa Daudi
maisha ya njia nyingi hatuwezi sema bado amefoji maana wizara husika haijatoa tamkoKufoji vyeti na kutumia cheti cha mtu mwingine nayo ni funzo?
Angepambana kurudia fom 4 hadi afaulu hapo hata mimi nimgemwona shujaa
Watumishi tumemuelewa gwajima na tume muunga mkono yakiwa upande wenu kimyaaa kibao kikigeuka mnatalk gwajima mwaga mboga ugali ulimwagwa walikaa kimya waliona ni sahihi vipi kwenye mboga blah blah nyingNi aibu mtumishi wa Mungu kuacha kuhubiri neno la Mungu badala yke anahubiri Vyeti vya MAKONDA madhabahuni.
Pia ni aibu kwa mtumishi WA Mungu kuwa Mnafiki,, Makonda amewahi kupandishwa madhabahuni na Gwajima ktk Kanisa lake,, je kwann hakumwambia ubaya WA kutumia Vyeti ambavyo si vyake ?
Yaani anangoja hadi Makonda kamtaja kwenye Nganda,, sasa kawa adui yke. Yaani watu wanaenda kanisani kusali eti wanakutana na mahubiri ya CV ya Makonda.
kuna mtu anaweza kumgusa mtoto wa mfalme katika nyakati za tumbuatumbua kama hizi? acha bwana.Ni mapema mno kukutupia lawama ndugu na mama yangu Ndalichako kuhusu ukimya wako katika sakata LA ununuzi Wa vyeti linalomkabili Mkuu Wa mkoa.
Nina imani kuwa wewe ni shujaa hivyo utachukuwa hatua ikiwa kweli Naye ni miongoni mwa watu walioshiriki au wanaoshiriki kuiharibu elimu yetu kwa kupita njia zisizo halali. Hivyo nasubiri tamko na hatua utakazozichukuwa dhidi ya tuhuma hizi nzito na hatarishi kwa elimu na taaluma ya nchi yetu
Hawana ubavu! Sana sana watainong'oneza mamlaka husika uhalisia wa mambo na kuacha maamuzi kwa mamlaka ya uteuzi!Basi tusubiri necta watasemaje