Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Makonda yupo vizuri fanya kazi bwana kuna watu wana vyeti vimeenyooka lakini kichwani hamna kitu..
 
101cd76ba5e3bcdffc24153d4616472b.jpg

Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.

Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
picha inaonyesha huyo mmoja amelala wenzake wanne wanapiga kitabu
 
Kipofu akimwongoza kipofu mwenzake mwisho wao ni shimoni.
Swali langu ni hili, kuna uhusiano wowote kati ya kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha 4 dar na CV ya huyu bwana?
 
Wanafunzi WA Dar asa wale walio katika Shule Za kata wengi wao awafiki shule utawakuta wamejazana kwenye fukwe za bahari (Beaches) mbaya zaidi wakiwa wamevaa sale Za Shule. Nadhani wahusika wawachukulie ataua pamoja na jamii endapo watakutwa uko mida ya shule wakiwa na sale Zao
 
Sare sio sale
 
Lililo wazi ni kwamba, wakati wewe unaweza kuingiwa naa huruma ya ajabu unapomuona mlemavu asiye na mikono miwili akitembea barabarani; kwa upande wake kiwete anaetembea kwa kujiburuza mgongo anaweza asijisikie kama unavyojisikia wewe kwa sababu anachoki-experience yeye ni kikubwa zaidi kuliko hilo la kutokuwa na mikono!!!

Mtu ambae ana historia ya kufanya vibaya kwa matokeo ya shule simtarajii ashituke kuona mwingine amefanya vibaya kwa sababu ni jambo ambalo tayari ameishi nalo... hakuna jipya kwake! Na mbaya zaidi, hawezi kuwa na mbinu za kufanya wengine wasifeli kwa sababu endapo angekuwa na mbinu hizo; in the first place, yeye mwenyewe asingefeli!!
 
Back
Top Bottom