Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,351
- 38,941
Umechoka wewe si ndo kwanza kumekuchaWalikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Umechoka wewe si ndo kwanza kumekuchaWalikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
besti Sasa jiulize hata cheti cha kuzaliwa jamaa kafoji na kupata passport Kwa jina la MakondaKile kichwa cha Gwajima ninakiaminia, Bulembo mwenyewe alisarrender.
Sasa Ndalichako mbona anahangaika na watu walio makazini wenye vyeti feki?Mtaangaika sana aliyepewa kapewa katu binadamu hawezi kumpokonya.
Amka wewengwajima huwa simuamini sijui kwanini . kabla ya yote aanze na stori ya Mbasha hapo nitamwelewa
Kwani huwa vinapatikana wapi? Mwambieni Makonda aonyeshe vyeti vyake hadharaniYeye alivitoa wapi?
Necta wanatoa vyeti kwa waliozungusha??Gwajima amesema anavyo vyeti vya Daudi Bashite alivyopata divion 0 vipo ofisini kwake
.
Ukiramba Div O Hakunaga ChetiGwajima amesema anavyo vyeti vya Daudi Bashite alivyopata divion 0 vipo ofisini kwake
.
Where is a moral of the leader?besti Sasa jiulize hata cheti cha kuzaliwa jamaa kafoji na kupata passport Kwa jina la Makonda
Kama anajuwa aliyepewa kapewa angekaa kimya siyo kutaja majina ya watu hivyo kuwa wanauza madawa ya kulevya.Mtaangaika sana aliyepewa kapewa katu binadamu hawezi kumpokonya.
Mtu akipata sifuri huwa anapewa cheti?Kwani huwa vinapatikana wapi? Mwambieni Makonda aonyeshe vyeti vyake hadharani