Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
Atafumba ili kuficha kashfa ya kuwa alichagua bosheni maana yy ndo alimteua
 
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
hatusikilizi chochote dhidi ya makonda. sasa hapa kazi tu na wauza unga. wajibu tuhuma na kibao wapo lupango. hawampotezi mtu maboya.
 
Tujifunze unapojiona wewe ni msafi sana na kuanza kuchafua majina ya watu matokeo yake ndio haya.nasikia anashinda kwa masheikh na maaskofu wamuombee sijui ndo apate cheti hata aeleweki. Tujifunze jamani
Ah ah ah! Cheti kije kwa njia ya maombezi ....
 
hatusikilizi chochote dhidi ya makonda. sasa hapa kazi tu na wauza unga. wajibu tuhuma na kibao wapo lupango. hawampotezi mtu maboya.
Sianga anashughulika na wauza unga!Makonda ashakabidhi kwenye mamlaka husika!Sasa tuje kwake,ana cheti cha kwake?
 
143 Reactions
Reply
Back
Top Bottom