Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero

Waliotumia vyeti vya wengine au majina ya wengine wapo wengi ila huyu Makonda alizidi kwani wakati anajua ni mwizi ana cheti cha darasa la saba tu angeendesha maisha yanayofanana na maisha ya kobe(tortoise) kwa kujifichajificha mpaka astaafu lakini kafanya blunder ya karne!!!!!!!!!!!!
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Acha hizo wewe!!
Ulitaka steringi afe 'akati muvi ndio kwanza linaanza!!

Put on ur 3D glasses, grab ur popcorn bucket, sit back and enjoy the movie.
 
Mbona pia kuna Mwenyekiti wa chama kimojawapo cha siasa hapa tz naye alipata zero ila kwa sasa ni kama mfalme kwenye chama chake

Anzisha Uzi wake huyo mwenyekiti
Hapa tunalia na huyu kilaza Makonda aka Bashite
 
Tunasubiri uthibitisho kutoka kwa muusika ayo mengine maneno tu ata kwenye kanga yapo .
 
Naona jina la Kihiyo limepata mrithi.....BASHITE ....ubashite....linywe
 
So what? Awe ana zero au hana so long anafanya kazi zake vizuri haina shida. We don't care about the colour of the cat so long it catches mice

Kwa hiyo wale watumishi wanaondelea kutumbuliwa na ndugu yake bashite ambao hata vyeo hawapandi...ajira zimesitishwa wadogo zetu wako mtaani..watu hawapati stahiki zao kisa uhakiki unazungumziaje juu ya hilo...kwa hiyo Bashite ana haki kuliko wafoji vyeti wengine na wale walioitwa Kilaza na mteuzi wa Bashite....Be serious Mkuu
 
Mkuu achana nae huyo
 
Tumia akili kidogo, mkuu wa mkoa ndie msimamiz mkuu wa uhakiki wa watumishi hewa, kama aligushi vyeti anapata wapi ujasiri wa kukagua wengine?
Una uthibitisho kwamba kagushi vyeti??..
+Suala la ukaguzi lilifanywa na Vyombo HUSIKA
 
Aàaah yani wenzake wasoma ye kalala ndio maana kafeli
Nahisi mwenye nyekundu huyoo ndio poul makonda huyoo
 
Huku si ni kudanganya mchana kweupe, mm nafikiri mtu anaweza kuwa na matokeo ya mtu lakini si cheti chake au hata result slip kwa sababu hivi vitu hutolewa kwa muhusika tuu, na kama mtu alifeli cheti huwa hapewi au necta huwa wanabaki na cheti cha ziada kwa mhitimu? je kama ndiyo hivyo huyu anayesema ana ushahidi kwa maana ya vyeti yeye kavitoa wapi? au mtuhumiwa mwenyewe kaamua kuvujisha siri zake mwenyewe?
 
Mbona pia kuna Mwenyekiti wa chama kimojawapo cha siasa hapa tz naye alipata zero ila kwa sasa ni kama mfalme kwenye chama chake
tatizo sio kupata Zero. Shida ni mku kufanya Udanganyifu
 
Back
Top Bottom