Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Yani yote huja baada ya kutajwa kua anauza madawa yakulevya?? Kama unalijua hili mbona hukusema mapema
 
  • Thanks
Reactions: ram
Ni aibu mtumishi wa Mungu kuacha kuhubiri neno la Mungu badala yke anahubiri Vyeti vya MAKONDA madhabahuni.

Pia ni aibu kwa mtumishi WA Mungu kuwa Mnafiki,, Makonda amewahi kupandishwa madhabahuni na Gwajima ktk Kanisa lake,, je kwann hakumwambia ubaya WA kutumia Vyeti ambavyo si vyake ?

Yaani anangoja hadi Makonda kamtaja kwenye Nganda,, sasa kawa adui yke. Yaani watu wanaenda kanisani kusali eti wanakutana na mahubiri ya CV ya Makonda.
Kwani aliishia hapo?
 
Aliyepewa mheshimu riziki yake ni pana, kuipora kwake ni vigumu mtahangaika sana
1f3a4.png
1f3a7.png
 
101cd76ba5e3bcdffc24153d4616472b.jpg


Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.

Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
 
Nimeangalia video ya mahojiano na wazazi wa huyu dogo, na baba/mama yake wanatumia "Makonda" kama jina la ukoo/familia.

Sasa, hilo jina la ukoo "Bashite" limetoka wapi?
 
Piga kazi MAKONDA OKOA WATOTO WETU!! Hayo ni maneno ya mkosaji Hayana Nguvu!!
WATAISOMA NAMBA CCM MBELE KWA MBELE
Hivi ndivyo vi ID vinavyoibuka pindi mfadhili anapopigwa za uso tafadhali wew ni mgeni humu hivyo tulia kama unanyolewa
 
Waumini mnaongozwa na Mchungaji km hyo poleni kma niukweli anachokisema aweke hivyo vyeti tuvione
 
Bwana yule mbishi kuachia kijiti kwa mwingine........Mikono juu mwendo wa mateka !!!! Mikono juu mwendo wa mateka....
 
Sasa Daud atasahaulikaje..
Zoom uangalie huo mshimbo wake vizuri..
Japokuwa anaweza kukataa kama ile aliyokuwa akimfunga r1 kamba za viatu...
 
101cd76ba5e3bcdffc24153d4616472b.jpg


Hii picha nimekutana nayo muda mrefu mitandaoni ila mimi sikuelewa. Leo katka group flani la Whatsup ikatumwa tena. Mi nikaona hata wakiniona kilaza poa tu acha niulize, hii picha yamaanisha nini? Ndyo wakanifahamisha kuwa aliyelala apo ni Daudi Bashite.

Mpaka sasa sijaamini kama ndye yeye. Na kama ndye yeye basi watanzania nimewaamshia mikono kwa kufukunyua maisha ya watu.
Huyo ni makonda mwenyewe...
 
CV YA PAUL MAKONDA

1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite

3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.

4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).

5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.

6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.

7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).

8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.

9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg.Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.

10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg.Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Mayor Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.

11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.

12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.

13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).

14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management &Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokua akisoma (akawa discontinued).

15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.

16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.

17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community &Economic Development (CED).

18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community &Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi A Bashite

19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.

20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.






C&P
 
157611.jpg


CVs za mh. Paul makonda toka ukuu wa wilaya ya Kinondoni mpaka ukuu wa mkoa wa Dar es salaam ni vyeti tosha kabisa kwa kazi yake!
KWA MANENO MENGINE HATUHITAJI VYETI VYOVYOTE VYA MAKONDA BAADA YA KUSHUHUDIA KAZI YAKE, INATOSHA! KAMA MTU KATUONYESHA UWEZO WA KUFANYA MAMBO YALIYOWASHINDA MAPROFESA TUMDAI VYETI VYANINI WAKATI ELIMU YAKE KWA VITENDO HAIPIMIKI KWA VIWANGO VYOTE VYA 'UNIVERSITY'?
Kabla hujalala ukamwonyeshe post hii upate ujira wako ila usisahau kumkumbusha alete cheti chake maana utamu wa kusoma ni pale unapoambiwa lete cheti na ndani ya dakika chache unakiweka hadharani
 
Back
Top Bottom