Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Tatizo mmeanza kurusha mawe wakati mmekaaa kwenye nyumba ya vioo sasa naona inakula kwenu.
 
Vyeti kumbe ni nyaraka za serikali! Ahsante bash.teh tumeweza kujua kupitia sakata lako
 
James 1:26.
If anyone thinks he is religious and does not bridle his tongue but deceives his heart, this person's religion is worthless.
 
Nilimsikia Mchungaji Gwajima kwenye video akisema ana vyeti vya mtu anayeitwa Daudi Bashite na Paul Christian Muyenge akimlenga Paul Makonda pamoja na kwamba alitumia umakini mkubwa katika maelezo yote kutolitaja jina la Paul Makonda ili asiingie kwenye mkono wa sheria.

Gwajima alifahamu kama angesema ana vyeti vya Paul Makonda basi angejikuta kwenye kosa la kuhodhi cheti/vyeti vya Paul Makonda bila idhini yake.

Haya ni maelezo mazuri sana kisiasa lakini kwa watu wanaofahamu sheria wataanza kujiuliza maswali mengi kwa sababu madai ya Gwajima yanamuingiza kwenye makosa ya jinai ambayo yameorodheshwa kwenye Kanuni ya adhabu Sura ya 16 katika sehemu ya 258-259 inayohusu wizi na pia sheria ya Usalama wa Taifa namba 3 ya mwaka 1970, Sheria ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa namba 3 ya mwaka 2002, Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 ya mwaka 2002 na Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma.

Sheria hazina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria lakini pia hoja zangu hazimtetei Paul Makonda kama kweli ametumia vyeti vya mtu mwingine kitaaluma.

Kuhodhi cheti cha mtu mwingine bila idhini yake ni kosa la jinai kama ilivyo kutumia cheti cha mtu mwingine kwa idhini yake.

Ifahamike kuwa, hata kama ukiokota cheti/vyeti vya mtu mwingine lazima utoe taarifa mapema kwenye vyombo vya serikali na kushindwa kufanya hivyo utakuwa unahesabiwa ni mwizi kama ilivyoainishwa katika kanuni ya adhabu Sura ya 16.

Ninaamini Gwajima hawezi kutoa vyeti vya Paul Makonda bila idhini yake pamoja na kwamba amesema atavitoa.

Nimesikia anasema ameleta watu waliokuwa watumishi wa umma watoe ushuhuda kuhusu ukweli wa Daudi Bashite na Paul Christian Muyenge lakini hao watu lazima waelewe wanaweza kujikuta katika mikono ya sheria kama hawatapata wanasheria wazuri wa kuwaeleza jinsi ya kuruka mitego ya kisheria.

Nimalizie kwa kusema, watoa ushuhuda wa Mchugaji Gwajima lazima waelewe kuwa wakoloni walipoondoka katika makoloni yao hawakufuta sheria walizozitunga na kikubwa zaidi, serikali zilizorithi utawala wa kikoloni ziliongeza zaidi sheria zinazoweza kuwaingiza matatani kama watawala wakiamua kuzisimamia kikamilifu.

Nimalizie kwa kuwatakia ushuhuda mwema !

NAPATA TABU SANA KUPEWA VIFUNGU VYA SHERIA WAKATI KUNA VIRAHISI KABISA, AMBAVYO HATA MTOTO WANGU WA STANDARD ONE ANAJUA KUIBA NI DHAMBI LAKINI HAVITUMIWI.
 
Kufoji vyeti sio kosa la jinai we bule kabisa wewe kama huyu jamaa hapa
490e9e9808c1eb0f65f72558d4f33d0d.jpg
 
Ninaamini serikali haiwezi kufuatilia suala kama hili kama hakuna official complain with solid evidence.

Hata kwenye nchi zinazotufundisha utawala wa sheria, huwezi kuona serikali zao zinaanza kufanya uchunguzi kwa sababu kuna baadhi ya watu wanasema maneno fulani. bila solid evidence.

Ninaamini kama wanaotoa madai watatoa solid evidence basi hata serikali itabidi iyafanyie kazi malalamiko yao.
Kweli mapenzi hupofusha, yaani wewe Leo ni wa kusema serikali haiwezi kuchunguza jambo kwa vile hakuna official complaints iliyoletwa? Maajabu makubwa!
Kumbuka katika sakata hilo kuna suala la Uhamiaji kutoa hati ya kusafiria ya Paulo chini ya viapo vya kisheria na ni wajibu wao kuchunguza iwapo kuna tetesi kuwa mtu wanaye mtambua kama X site Bali ni Y..
Unadhani jambo hilo lingezungumzia mtu wa mtaani tuu au mpinzani serikali ingesubiri official complaints ili kuchunguza?
 
Nilimsikia Mchungaji Gwajima kwenye video akisema ana vyeti vya mtu anayeitwa Daudi Bashite na Paul Christian Muyenge akimlenga Paul Makonda pamoja na kwamba alitumia umakini mkubwa katika maelezo yote kutolitaja jina la Paul Makonda ili asiingie kwenye mkono wa sheria.

Gwajima alifahamu kama angesema ana vyeti vya Paul Makonda basi angejikuta kwenye kosa la kuhodhi cheti/vyeti vya Paul Makonda bila idhini yake.

Haya ni maelezo mazuri sana kisiasa lakini kwa watu wanaofahamu sheria wataanza kujiuliza maswali mengi kwa sababu madai ya Gwajima yanamuingiza kwenye makosa ya jinai ambayo yameorodheshwa kwenye Kanuni ya adhabu Sura ya 16 katika sehemu ya 258-259 inayohusu wizi na pia sheria ya Usalama wa Taifa namba 3 ya mwaka 1970, Sheria ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa namba 3 ya mwaka 2002, Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 ya mwaka 2002 na Kanuni za Kudumu katika Utumishi wa Umma.

Sheria hazina siasa pamoja na kwamba siasa wakati mwingine hazina sheria lakini pia hoja zangu hazimtetei Paul Makonda kama kweli ametumia vyeti vya mtu mwingine kitaaluma.

Kuhodhi cheti cha mtu mwingine bila idhini yake ni kosa la jinai kama ilivyo kutumia cheti cha mtu mwingine kwa idhini yake.

Ifahamike kuwa, hata kama ukiokota cheti/vyeti vya mtu mwingine lazima utoe taarifa mapema kwenye vyombo vya serikali na kushindwa kufanya hivyo utakuwa unahesabiwa ni mwizi kama ilivyoainishwa katika kanuni ya adhabu Sura ya 16.

Ninaamini Gwajima hawezi kutoa vyeti vya Paul Makonda bila idhini yake pamoja na kwamba amesema atavitoa.

Nimesikia anasema ameleta watu waliokuwa watumishi wa umma watoe ushuhuda kuhusu ukweli wa Daudi Bashite na Paul Christian Muyenge lakini hao watu lazima waelewe wanaweza kujikuta katika mikono ya sheria kama hawatapata wanasheria wazuri wa kuwaeleza jinsi ya kuruka mitego ya kisheria.

Nimalizie kwa kusema, watoa ushuhuda wa Mchugaji Gwajima lazima waelewe kuwa wakoloni walipoondoka katika makoloni yao hawakufuta sheria walizozitunga na kikubwa zaidi, serikali zilizorithi utawala wa kikoloni ziliongeza zaidi sheria zinazoweza kuwaingiza matatani kama watawala wakiamua kuzisimamia kikamilifu.

Nimalizie kwa kuwatakia ushuhuda mwema !
Mkuu Msemaji unwell, kwa kuanzia, japo Mchungaji Gwajima alisema anavyeti, hii sii kweli, emesema uongo ila common sense ulielekeza anamaanisha ana nakala na sio vyeti. Kuhusu huu uongo wa Gwajima, tumeuzungumza hapa.
Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo! Adai yeye ni zaidi ya Rais...

Pili vyeti vyovyote vya elimu, hospital, safari (passport), kuzaliwa, uraia, kifo etc, au cheti kingine chochote hata leseni, sio nyaraka za serikali bali ni personal documents, hivyo haziingii kwenye sheria ya nyaraka za serikali.

Passport na leseni ndizi nyaraka za serikali kwenye personal documents ambazo serikali inakuazima na kuweza kukunyanganya wakati wowote.

Sio kosa kisheria mtu mwingine yoyote kukutwa na personal document ya mtu mwingine yoyote as long as ameipata kihalali.

Nyaraka za serikali at person level ni barua zote za kiserikali mtu unapoandikiwa na sio kosa kwa barua hizi kukutwa kwa mtu mwingine yoyote.

Nyaraka za serikali ambazo ni kosa kisheria kukutwa kwa mtu mwingine, ni zile tuu zilizogongwa muhuri wa siri/confidential, Secret na Top Secrets.

Vyeti vya elimu vya mtu yoyote sio confidencial, sio secret wala top secrets documents hivyo sii kosa kisheria mtu mwingine yoyote kuwa navyo kihalali na ukikutwa na vyeti vya mtu mwingine isivyo halali, ni kosa la kukutwa na malí ya mtu kama wizi mwingine wowote na sio kosa la kukutwa na nyaraka za serikali.

Paskali
 
Ninaamini serikali haiwezi kufuatilia suala kama hili kama hakuna official complain with solid evidence.

Hata kwenye nchi zinazotufundisha utawala wa sheria, huwezi kuona serikali zao zinaanza kufanya uchunguzi kwa sababu kuna baadhi ya watu wanasema maneno fulani. bila solid evidence.

Ninaamini kama wanaotoa madai watatoa solid evidence basi hata serikali itabidi iyafanyie kazi malalamiko yao.
We kiumbe ni una kiwango kidogo sana cha uelewa, kutengeneza hoja na kushawishi jamii hasa angalia utumbo ulioandika hapa kuanzia kwenye hoja yako,,,,,, unafanana kabisa na bashite hamnazo nyie hafu mnataka kulazimisha kuongoza watu wenye uwezo tofauti,,,,, hii nchi siasa zitaididimiza mno
 
Mkuu Msemaji unwell, kwa kuanzia, japo Mchungaji Gwajima alisema anavyeti, hii sii kweli, emesema uongo ila common sense ulielekeza anamaanisha ana nakala na sio vyeti. Kuhusu huu uongo wa Gwajima, tumeuzungumza hapa.
Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo! Adai yeye ni zaidi ya Rais...

Pili vyeti vyovyote vya elimu, hospital, safari (passport), kuzaliwa, uraia, kifo etc, au cheti kingine chochote hata leseni, sio nyaraka za serikali bali ni personal documents, hivyo haziingii kwenye sheria ya nyaraka za serikali.

Passport na leseni ndizi nyaraka za serikali kwenye personal documents ambazo serikali inakuazima na kuweza kukunyanganya wakati wowote.

Sio kosa kisheria mtu mwingine yoyote kukutwa na personal document ya mtu mwingine yoyote as long as ameipata kihalali.

Nyaraka za serikali at person level ni barua zote za kiserikali mtu unapoandikiwa na sio kosa kwa barua hizi kukutwa kwa mtu mwingine yoyote.

Nyaraka za serikali ambazo ni kosa kisheria kukutwa kwa mtu mwingine, ni zile tuu zilizogongwa muhuri wa siri/confidential, Secret na Top Secrets.

Vyeti vya elimu vya mtu yoyote sio confidencial, sio secret wala top secret, hivyo kosa kisheria mtu yoyote kuwa navyo kihalali na ukikutwa na vyeti vya mtu mwingine isivyo halali, ni kosa la kukutwa na malí ya mtu kama wizi mwingine wowote na sio kosa la kukutwa na nyaraka za serikali.

Paskali
Vyeti vinakuwa vya serikali pale kunapokuwa na ukakasi kama sikosei ili watu wasivifukunyue ni kama basi la abiria kukabidhiwe jeshini ligeuke kuwa kama kifaru cha jeshi ili lisifukunyuliwe
 
Ninaamini serikali haiwezi kufuatilia suala kama hili kama hakuna official complain with solid evidence.

Hata kwenye nchi zinazotufundisha utawala wa sheria, huwezi kuona serikali zao zinaanza kufanya uchunguzi kwa sababu kuna baadhi ya watu wanasema maneno fulani. bila solid evidence.

Ninaamini kama wanaotoa madai watatoa solid evidence basi hata serikali itabidi iyafanyie kazi malalamiko yao.
Nchi gani hiyo? Nani kafungua kesi kuhusu Russia kuingilia uchaguzi wa marekani? Kuna zoezi linaendelea kuhusu watu kutumia vyeti bandia au vya watu wengine. Kuna wanafunzi wamesimamishwa masomo, kutokana na kashifa kama hii. Solid evidence? what solid evidence do you want? Mchungaji Gwajima spilled everything
 
anadai atawanyosha.nashindwa kuelewa kwa nini badala ya kujibu hoja ya vyeti vya watu kumpa ulaji ,anang'ang'ana na hoja mufilisi ya kusakamwa kwa ajili ya vita alivyoanzisha vya madawa ya kulevya.Ajibu hoja ya vyeti tuone kama watu wataendelea kumsakama.
 
Hili la Makonda limekwisha...nasubiri sasa ile PhD feki; Dr gani hawezi kuongea hata sentensi moja ya kimombo fasaha hadi anazidiwa na watoto wa Grade 1 pale St.Mary's?
ACHA UPUUZI LA KOND ..LIMEISHAJE? BADO NDIO LAANZA.
 
Mkuu Msemaji unwell, kwa kuanzia, japo Mchungaji Gwajima alisema anavyeti, hii sii kweli, emesema uongo ila common sense ulielekeza anamaanisha ana nakala na sio vyeti

Huh?

Hapo sijakuelewa kidogo.

Unasema kuwa Gwajima hakusema kuwa ana vyeti au?
 
Back
Top Bottom