Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Hakuna yoyote mwenye tatizo na ukuu wa mkoa wa Makonda. Na pia kupata zero ni haki yake ya msingi kawa wenginei. Tatizo letu na Makonda ni shutma ya kutumia cheti na jina la mtu

Akiwa kama kiongozi na kioo cha jamii, hasa katika hii awamu ambayo wengi wamefukuzwa kazi zao Kwa sababu ya kugushi vyeti, Makonda lazima a atoe ufafanuzi wa haya maswala yenye utata

Itakuwa ni vigumu Kwa Rais kumfukuza mtu kazi ikiwa makonda ambaye anatuhumiwa na hata uraia wake kutiliwa shaka. Na hata ikibidi, wale waliofukuzwa warudishwe kwenye nyadhifa zao.

Kupata zero ni haki yake msingi . Tatizo ni udanganyifu. Makonda na hata Rais wasinyamazie....hii issue italigawa taifa
Ishaligawa,sio italigawa
 
Katika sakata hilo si lazima aliyeibiwa kushitaki - nilidokeza kuwa:-

1. Iwapo mwenye cheti hakufungua kesi wala kuchukuwa loss report mwisho wa siku atabanwa na charge la njama) conspiracy),

2. Iwapo alifungua loss report au kuchukuwa rb basi hapa Makonda atakuwa na charge ya wizi wa nyaraka za mtu,

3. Makonda kama baada ya kupata cheti hicho alilazimika kuandaa nyaraka zingine zinazoendana na cheti babu (cv yake, cheti cha kuzaliwa, cheti cha ubatizo, kitambulisho cha CCM nk nk nk) hapo itaongezeka charge nyingine ya fraud.
 
Hapana siyo kosa mkuu, hasa ukiwa kiongozi wa serikali na kada wa chama pendwa kosa linajifuta automatically. Msamehe bure huyo hajui chama chenu kinavyoendeshwa.
hata kama upendi kucheka kwa jibu hilo murua lazima ucheke
 
MAKONDA VYETI VYAKO FEKI""""""""
Kwanza nawasalimu kwa jina la Mungu yeye anayetupa uhai wote tuliopo kwenye hii dunia.

Nimekuwa nafutilia swala linaloendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nakutokea maoni mbalimbali.

Wengine wakihitaji aweke vyeti vyake hadharani kuondoa utata uliopo lakini wasemaji wengine wanadai serikali itoke izungumzia swala hilo la vyeti vya Makonda.

Sasa kabla hayo hayajafanyika naomba kueleza machache juu swala hilo.

1. Aliyeibua hoja ya vyeti vya Makonda alishinda tu pale alipoanza kueleza jambo hilo, kwani inaonekana ni jambo la siasa na propaganda sisizo zamsingi nilitegemea siku hiyo angekuja na cheti cha shule ya Msingi cha huyo anadaiwa cheti chake kutumiaka secondary au hata kitambulisho chochote cha mtu huyo kinachoonyesha hilo ndio jina lake halisi na kwamba Makonda amenunua?.

2. Nilitegemea angetokea hata mwanafunzi yeyote aliyesoma na wote wawili na kudhibitisha kuwa anawafahamu na sikweli huyu Mh. Anaitwa hivyo maana naamini wote hao wapo na sitaki kuamini wote watakuwa upande wa Makonda yaani darasa lote wanafunzi wa shule yote wakipindi hicho wawe upande wa Makonda?

3. Nilitegemea hata walimu waliyowafundisha hayo wawili ambao wanawajua kwa majina yao, naamini wengeni wamestafu ila siamini kama walimu wa wanafunzi hayo kama wote wapo upande wa Makonda.

4. Wale wanaosema alete vyeti vyake halali watu wavione je wao wameleta hivyo ambao sio halali hadharani maana hoja hujibiwa kwa hoja Document hujibiwa kwa Document wewe hujaleta Document unataka mwenzio alete wewe unaleta maelezo ukipewa maelezo hutaki hapo tunajifunza nini?

Mnataka tuamini maneno mliyo andika kwenye karatasi nyeupe ?

Hivi serikali iyache kazi ya kuwahudumia wananchi ifanye ya kujibu mambo ya siyokuwa na vieleleza? Mimi nitaamini pale nitakapoona ushahidi wa kutosha na sio uvumi wa kina Mange.

Mh. Makonda endelea kunyamaza maana rais hakukuchagua bila kujiridhisha .

Utazungumza tu kama hayo majibu yangu yatajibiwa hapo juu na sio vinginevyo.
 
Hii agenda ya cheti cha makonda imeishachuja...bavicha njooni na agenda nyingine sasa..

Kwani leo hamjasikia hotuba ya Magufuli mkapata cha kuongea????
 
Hakuna yoyote mwenye tatizo na ukuu wa mkoa wa Makonda. Na pia kupata zero ni haki yake ya msingi kawa wenginei. Tatizo letu na Makonda ni shutma ya kutumia cheti na jina la mtu

Akiwa kama kiongozi na kioo cha jamii, hasa katika hii awamu ambayo wengi wamefukuzwa kazi zao Kwa sababu ya kugushi vyeti, Makonda lazima a atoe ufafanuzi wa haya maswala yenye utata

Itakuwa ni vigumu Kwa Rais kumfukuza mtu kazi ikiwa makonda ambaye anatuhumiwa na hata uraia wake kutiliwa shaka. Na hata ikibidi, wale waliofukuzwa warudishwe kwenye nyadhifa zao.

Kupata zero ni haki yake msingi . Tatizo ni udanganyifu. Makonda na hata Rais wasinyamazie....hii issue italigawa taifa
kuna watu washafungwa, wako ndani hivi tunavyoongea kwa kosa kama la Bashite Albert. kwanini yeye aachwe, au kwasababu ni mtu wa pande hiyo hiyo.
 
Hivi huyo aliyeibiwa cheti na Makonda si akina Lisu wangekuwa wameishamlipia hata nauli kutoka Mwanza(kama yuko huko) aje Dar wafungue kesi ya jinai????

Hapa ndipo ninapoona kuwa hawa akina Gwaajima na Mbowee wanatuchezea akili ili ukweli juu yao wa kuuza sembe usijadiliwe ila tujadili propaganda za kitoto...tena kila anae waudhi huibuka na propaganda hiohio...refer Mwigulu na Kigwangala. Yani tecnics ni zilezile za kitoto.
 
Mjadala umefika patamu - hapa Makonda hachomoi kashifa zake ni nzito sana kuliko tani kadhaa za saruji.
1. Kinachongojewa ni je mhe JPM atasimamia maneno yake juu ya vyeti hewa??

2. Je, mhe JPM atampa Makonda kazi ilinganayo na vyeti vyake??

3. Wanasheria wetu watakuwa tayari kuiburuza mahakamani issue hii

Baaaaaasiiiiii!!
 
Cc Paulo makonda
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-03-21-03-45.png
    Screenshot_2017-03-03-21-03-45.png
    278.6 KB · Views: 38
Back
Top Bottom