Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Bashite hadi watoto wachanga wanajua amepata fa fa fa fa akabadili jina kwa kufoji cheti.
6114718df012a69276b32ca94ba4ba23.jpg

Shite Boi
 
5. Zoezi la uhakiki limepoteza maana na limedharaulika.

Hapa mkulu na cabinet yake wajifikirie mara 100
 
Bashite-gate ndo inaelekea kaburini.

Unless mtu aje ushahidi ulio solid labda ndo inaweza kupata uhai tena.

Ila bila solid evidence ndo basi tena. Bashite-gate is kaput.
Hawa hawana hoja
kick tu
Wamekosa wapi washike
ushahidi upi!!
Hawawezi kuwa na ushahidi
 
Kisha uje utuletee Madhara ya kumlinda
kiongozi mkuu wa chama ZERO kinacho jipambanua kuwa kisafi

Kabla hujamwambia jirani yako kwake pachafu
Anza kujiuliza wewe kwanini kwako Maskani ya Nzi!!
Wewe jamaa ni mpuuzi sana, kupata zero sio uhalifu, kuchonga/kununua/kuiba cheti ni hatia.

Sasa usichanganye matundu yako ukawapa wazibua mitaro, sawaaa?
 
Tatizo sio kupata zero, tatizo unapata zero half unachukua vya wengine na kujifanya ulipta high grade kumbe zero ooooo
ZERO alitaka kuwa Makamu wa Rais
hahaha mgombea Mwenza!!!
Aishie hukohuko Chagadema
 
Tueleze pia nini madhara ya kupokea wavuta bangi na wauza vitumbua kama WSepetu ewe bingwa wa kuchambua.
 
yule nesi aliyehukumiwa miaka 28 kwa vyeti vya kugushi afutiwe hukumu na aachwe huru sasa.!
 
Back
Top Bottom