Acha maneno weka vyeti vyako halali vya pamba sec.Mnajua kunyoosha midomo juu wakati vyeti hamna, mfyuuuu....
Kwa kweliMnajua kunyoosha midomo juu wakati vyeti hamna, mfyuuuu....
Lema,Kubenea,Mbowe wanavyo?Mnajua kunyoosha midomo juu wakati vyeti hamna, mfyuuuu....
Huyu mwenzako wote mnampigania Daudi mnaanza kushushuana tenaLema,Kubenea,Mbowe wanavyo?
Nani katangaza vita na kamanda mpambanaji kiongozi na kamishina wa tume ya kupambana na madawa ya kulevya mh Sianga? au mwenyekiti wa tume na wajumbe wake?Wauza Madawa wana tapatapa
Hata kuko kwenye DAMPO Chagadema
Hawatakuwa Salama
awamu hii si mchezo
Namkubali Makonda kwa uchapakazi.
Agenda zote za serikali ambazo huanzishwa, yeye hukamata kijiti na kuwa Imara. Iwe ni agenda ya watumishi hewa, kutengeneza madarasa na madawati n.k.
Ila katika pitapita zangu sijaona akifuatilia kwa ukaribu uhakiki wa vyeti vya watumishi.
Kiongozi toa vyeti hadharani mambo yaishe. Ukimya mbaya.
Ili iweje? Yani ajishughulishe na maneno ya mitandaoni ya kina mange ambao hawana kazi? Our makonda is too busy working wacha majobless waendelee kupiga mayoweKujatisha mzizi wa fitina RC aweke vyeti vionekane. Hakuna haja ya kuwa na baraza la mitihani, watu wasome tu ukimalima umemaliza.
Huu ubize ungeanza wakati anajiandaa na mitihani ingekua bomba sana.Ili iweje? Yani ajishughulishe na maneno ya mitandaoni ya kina mange ambao hawana kazi? Our makonda is too busy working wacha majobless waendelee kupiga mayowe