Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 213
Yuko kwenye maandalizi ya KITCHEN PARTY.
Hii nakumbuka alijibu week moja kama si kosei kabla ya tarehe yenyewe aliyosema, ndo maana hapo alihaidi muda si mrefu atakuja kutuhabarisha..tokea hapo kapotea hatukumuona tena.!!
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza tunduni huyo jamaa?
[/INDENT]
Namnukuu:Aliijibu 6th June. Rejea bandiko lake kwenye post no. 544.
SoUNDS like some kind of delaying tactics ili watu wasahau!...Tusubiri hata lini?asanteni sana wapendwa kwa maombi yenu, ni kweli nimepotea kidogo, nina majukumu mengi ofisini na haya ya kuiandaa my dream home! hadi sasa kila kitu kinaenda vizuri kama nilivyokuwa nikiomba na uwepo wa Mungu katika mchakato mzima ni over 100%! muda si mrefu nitakuja na habari kamili. nawashukuruni sana kwa kuungana nami muda wote huu kwa maombi bila kuchoka.
naomba atakayepata nafasi aburudike na wimb wa Upendo Kilahiro uitwao UNAJIBU MAOMBI
Mungu awabariki sana
Glory to God!!
aaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiii!!!!! unamtaka wewe??? teh teh teh
Niliweka pingamizi.
Kisa? au kauteka moyo wako? :]
Ni kweli, nampenda sana huyu binti pamoja na tatizo lake la kujua mno!Pj babu waloliondo amekusabishia sababu ya kumpenda Mis Judy bila kujua.
Mh Edson, si ungeuchuna tuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)
Huwa wabishi kweli kweli hadi kieleweke..Kinda'...not exactly!
But Why?
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza tunduni huyo jamaa?
[/INDENT]