Mchumba wa Miss Judith!

hehehehehe nimekusoma kiongozi!! kwa hiyo mambo ni valu valu hakuna cha mchumba wala nini? wazi wa msela walishtuka nini wakajua mwanao anata kuolewa badala ya kuoa? Isije kua kuna ndugu wa msela alipita hapa JF akaona akaenda kuwashtua madingi!!

Hamuachi bwana! Siku hizi ndoa sio kama za zamani. Siku hizi tunaingia kwa equal basis. Matumizi nyumbani tunagawana pasu kwa pasu, mshahara wa mwanamke tunakula sote, kwa nini mwanamme awe juu!

Hamna kuolewa na kuoa, KUOANA ndo mpango mzima :D
 
Miss Judy yuko busy na babu wa Loliondo.

Sala zake zimegonga mwamba! Mwanaume kayeya!

Narudia tena...atakayemuoa yule binti, namuonea huruma sana!
 
hahahhaha Changu changu chako changu ndo mpango mzima Mwl
 
Hahahahaha.....

Mungu wa Miss Judith kaingia mitini kwa ombi moja tu la Miss Judith kumuoa mme wake.

Afadhali angalau Mungu wa babu wa Loliondo ametenda miujiza kwa mambo kadhaa
 
Miss Judy yuko busy na babu wa Loliondo.

Sala zake zimegonga mwamba! Mwanaume kayeya!

Narudia tena...atakayemuoa yule binti, namuonea huruma sana!

Usikute hizi screen tu zinatufanya tuwe watu wengine, lakini mbele ya jamaa yake hazungushi, anageuka mdogo kama Piritoni (au Aspirini?)
 
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza tunduni huyo jamaa?

[/INDENT]

Tatizo la sisi wabongo huwa hatufanyi mrejesho tunajisahau
 
Usikute hizi screen tu zinatufanya tuwe watu wengine, lakini mbele ya jamaa yake hazungushi, anageuka mdogo kama Piritoni (au Aspirini?)
Na MJ ndiyo zake hizo!
Hata KUMPONDA babu wa Loliondo kiasi kile huenda ameshaenda huko!...shida haina adabu bana!
 
Tatizo la sisi wabongo huwa hatufanyi mrejesho tunajisahau
hommie mara nyingi marejesho ya maumivu ni ngumu kuleta..!! ingeenda kama ilivyo angekuja na thread ya kumshukuru Mungu wake hapa
 
Usikute hizi screen tu zinatufanya tuwe watu wengine, lakini mbele ya jamaa yake hazungushi, anageuka mdogo kama Piritoni (au Aspirini?)
Yawezekana mwaego.......
Na hivi umepotelea wapi mwalimu wangu?
Sala zetu Mungu kazitupilia mbali au Invizibo ana umoja na mapepo?
 
hommie mara nyingi marejesho ya maumivu ni ngumu kuleta..!! ingeenda kama ilivyo angekuja na thread ya kumshukuru Mungu wake hapa

Labda Bwana Mkubwa kamkataza kuanika mipango yao hapa JF. Coz sasa si mipango yake tena bali ni yao .......(I'm trying to think positively)
 
hahahaha kama umepangiwa kila kitu na kukubali leo uje ukataze tena? Ukitoswa? (am just thinking loudly)
 
Yawezekana mwaego.......
Na hivi umepotelea wapi mwalimu wangu?
Sala zetu Mungu kazitupilia mbali au Invizibo ana umoja na mapepo?

We acha tu manake staki kuamini kama huyu Invizibo sala zetu kaziweka kapuni. Nipo sana tu nasaka pesa ya kufika Loliondo kabla Babu hajasitisha huduma kwa kuhujumiwa.
 
hahahaha kama umepangiwa kila kitu na kukubali leo uje ukataze tena? Ukitoswa? (am just thinking loudly)

Kweli Mkuu, hypothesis yangu haina mashiko

Edson na PJ........vipi tena mnataka kututenga kwa taarifa wakati tulijumuika kwa sala?
 
Back
Top Bottom