Mchumba wa Miss Judith!

Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya
siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza tunduni huyo jamaa?

[/INDENT]

Kaka maandiko yanasema "Kwa Mungu siku moja ni sawa na miaka Elfu"

Sasa piga hesabu kama hizo siku 30 zilikuwa ni kwa calculation za Kiroho. Lazima magoti yaote sugu!!
 
Aliijibu 6th June. Rejea bandiko lake kwenye post no. 544.
Namnukuu:
asanteni sana wapendwa kwa maombi yenu, ni kweli nimepotea kidogo, nina majukumu mengi ofisini na haya ya kuiandaa my dream home! hadi sasa kila kitu kinaenda vizuri kama nilivyokuwa nikiomba na uwepo wa Mungu katika mchakato mzima ni over 100%! muda si mrefu nitakuja na habari kamili. nawashukuruni sana kwa kuungana nami muda wote huu kwa maombi bila kuchoka.

naomba atakayepata nafasi aburudike na wimb wa Upendo Kilahiro uitwao UNAJIBU MAOMBI

Mungu awabariki sana

Glory to God!!
SoUNDS like some kind of delaying tactics ili watu wasahau!...Tusubiri hata lini?
SO , NOW WHATS THE WAY FORWARD?...
 
Pj babu waloliondo amekusabishia sababu ya kumpenda Mis Judy bila kujua.
Ni kweli, nampenda sana huyu binti pamoja na tatizo lake la kujua mno!
Ningekuwa naoa leo ningembeba hivyohivyo nifaudu jinsi anavyofanya maujuvi yake akiwa chumbani!
 
paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)
Mh Edson, si ungeuchuna tuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza tunduni huyo jamaa?

[/INDENT]

ha ha ha, PJ bana. Kumbe bado umeifungia mkanda hii issue ee? lol!...haya, acha nipitie post moja baada ya nyingine hapa.

 
Back
Top Bottom