Mchumba wa Miss Judith!

We acha tu manake staki kuamini kama huyu Invizibo sala zetu kaziweka kapuni. Nipo sana tu nasaka pesa ya kufika Loliondo kabla Babu hajasitisha huduma kwa kuhujumiwa.
Nilikuwa nakuombea uondolewe adiksheni ya jukwaa la mastress kule, hatimaye kilio changu kimesikika..........karibu nyumbani mwalimu wangu. Usitende tena dhambi.
 
ana tatizo moja kubwa....kama akilimaliza hilo atakuwa salama....she is too rigid
 
Nilikuwa nakuombea uondolewe adiksheni ya jukwaa la mastress kule, hatimaye kilio changu kimesikika..........karibu nyumbani mwalimu wangu. Usitende tena dhambi.

Kondoo nimerudi zizini. Na dua zako zisikilizwe milele daima- amen
 
Mbona alishajibu kitambo kuwa mambo yake yamekwenda vizuri kuliko hata yeye mwenyewe alivyotegemea?.. Sasa hivi yuko busy na mipangilio ya nyumba yake mpya..
 
cheki pm yako kaka.....

Mkuu ni-PM na mimi basi...

jamani tuzidi kumuombea. Mara ya mwisho alisema amekuwa ni mtu wa safari sana ndani na nje ya nchi. Ikumbukwe kuwa aliwahi kufanya kazi SUDAN,
Huenda amerudi huko, safari hii jimbo la DARFUR, tumuweke kwenye maombi mpendwa wetu.
 
Hahahahaha.....

Mungu wa Miss Judith kaingia mitini kwa ombi moja tu la Miss Judith kumuoa mme wake.

Afadhali angalau Mungu wa babu wa Loliondo ametenda miujiza kwa mambo kadhaa

Babu acha umbeya aliyekwambia Mungu wake kaingia mtini nani:A S 114:
 
Mkuu ni-PM na mimi basi...

jamani tuzidi kumuombea. Mara ya mwisho alisema amekuwa ni mtu wa safari sana ndani na nje ya nchi. Ikumbukwe kuwa aliwahi kufanya kazi SUDAN,
Huenda amerudi huko, safari hii jimbo la DARFUR, tumuweke kwenye maombi mpendwa wetu.
Na huenda ikawa pia aliathiriwa kisaikolojia na mambo ya wasudan...basi tuzame gotini! ha ha haaa!

Naona wewe mkuu tayari ume'cross fingers, sijui uko rakaa ya ngapi hapo!
 
Mbona alishajibu kitambo kuwa mambo yake yamekwenda vizuri kuliko hata yeye mwenyewe alivyotegemea?.. Sasa hivi yuko busy na mipangilio ya nyumba yake mpya..
Lete thread husika dada!...Hata kama ni PM i'paste hapa!
Hatutaki kumwonea mtu hapa...
 
Vipi, hatimaye umekubaliana na masharti uliyopewa, au mkuu umegalambuka?

Mie ni kaka yake wa kiroho!! lol..

Ingawa kwenye thread yake alisema mpaka sasa mambo yake yanakwenda kama yalivyopangwa kwa asilimia 100.

Na anaandaa makao yake
 
Vipi, hatimaye umekubaliana na masharti uliyopewa, au mkuu umegalambuka?

Kwa fashion hii nadhai ataachwa na Miss Judith ndani ya siku mbili...ulabu mno, lol

nakuunga mkono. Binafsi nilikuwa kama wewe. Sikuwa na weekend wala wikienda. Ilikuwa ni ulabu kila siku. Ila sasa nimepunguza. Nakunywa jumamosi tu tena kidogo, na pia pale ninapokuwa out. Ila kuacha ni ngumu. Nashauri utangaze kupumzika.

Sijui kama atamuweza mlokole...
 
Lete thread husika dada!...Hata kama ni PM i'paste hapa!
Hatutaki kumwonea mtu hapa...

Alijibu hivi:
asanteni sana wapendwa kwa maombi yenu, ni kweli nimepotea kidogo, nina majukumu mengi ofisini na haya ya kuiandaa my dream home! hadi sasa kila kitu kinaenda vizuri kama nilivyokuwa nikiomba na uwepo wa Mungu katika mchakato mzima ni over 100%! muda si mrefu nitakuja na habari kamili. nawashukuruni sana kwa kuungana nami muda wote huu kwa maombi bila kuchoka.

naomba atakayepata nafasi aburudike na wimb wa Upendo Kilahiro uitwao UNAJIBU MAOMBI

Mungu awabariki sana

Glory to God!!
 
Taarifa alitoa mwenyewe bila shinikizo...sasa kwanini na feedback msisubirie mpaka yeye atakapoona ni muda muafaka bila shinikizo ktuoka kwenu!?Maana hata sio kama mnajali ila zaidi ni kama mnamchora tu na kumkejeli!!!
 
Alijibu hivi:
Hii nakumbuka alijibu week moja kama si kosei kabla ya tarehe yenyewe aliyosema, ndo maana hapo alihaidi muda si mrefu atakuja kutuhabarisha..tokea hapo kapotea hatukumuona tena.!!
 
Back
Top Bottom