Wabongo bana huyo mbasha sijui basha kabutuliwa na mchovu ajabu lawama inapewa bangi hivi bangi ilishawafanyia nini? yahani mnataka kusahau kua huyo mchovu ni binadamu na yeye anamihemuko kama watu wengine, Kama huyo mbasha mwenyewe alishindwa kutumia busara iweje mwenzie atumie busara.
Tatizo wabongo tunakosa mambo ya msingi ya kujadili ndio mahana vitu vya kipuuzi kama hivi vinakua habari, juzi Kati hapa mlikua mnapiga kelele za Uchebe na shilole, leo hii naona mchomvu na basha wamekua topic.
Halafu acheni kabisa kuhusanisha bangi na ujinga unaofanywa na watu kwa hulka zao za kibinadamu, sisi bangi ni sehemu ya ibada kabisa na kuna watu wengi wanavuta bangi wanafanya mambo makubwa kwenye jamii zao mbona hua hamuhisifii bangi au linapotokea jambo baya ndio bangi huonekana