I can't agree more. Buree kabisa, Ila ndio jamaa kashajipoteza majukwaani tena.Wakulaumiwa ni madalali wa chama ...malipo ya washereheshaji makini yalipigwa panga kisha wakatafutwa level ya kupokea chochote..so they don't know the sensitivity of the function
Umenikumbusha mbali sana.....hivi Dotnata yuko jamani?Kuna vitu tafsiri zake huwa ni za kiroho pekee..unaweza kupangilia jambo lako kwa umakini wa hali ya juu na kuchukuaa tahadhari zote lakini likaja kufelishwa ana kuharibiwa na kitu kidogo kabisa.
Adam Mchomvu kaharibu shughuli nzima. Shughuli iliyoandaliwa kwa gharama kubwa na kukusanya watu wengi pamoja na vyombo vingi vya habari... Mungu akaiseta na kuipiga teke kupitia mtajwa hapo juu akiwa mmoja wa washereheshaji waliokabidhiwa jukumu la kuiendesha shughuli kwa mafanikio
Hekima ya mtu haionekani kwenye majisifu furaha na shangwe hapo kila mtu huonesha hekima sana...hekima halisi huonekana kwenye changamoto hasa mlengwa anapoguswa uhalisia hasi wa ndani yake.
Mchomvu pamoja na kumlaumu Emanuel Mbasha ..mmoja wa wasanii walioalikwa alikuwa na kila uwezo wa kufanya shughuli nzima isiharibike. Yeye kwa wakati ule ndio alikuwa dereva kwenye jahazi. Kejeli ya abiria haingeweza kumtatiza mpaka asabbabishe chombo kiende mrama.
Hekima...hekima..hekima...kwa kuzingatia jukumu alilokuwa nalo jukwaani angepotezea kejeli ya utan(i?) Ya kuitwa Mchomvu mabangi ili amalize shughuli kisha afuate njia sahihi za kumuadabisha mbaya wake...hilo halikufanyika
Kitendo cha kumpiga mtama Mbasha pale jukwaani na baadae kumfuata nyuma ya jukwaa akitaka kumpiga tena na mwendelezo wa kuahidi kumtia adabu kimefunika dhima ya tukio zima la ufunguzi wa nyimbo za wasanii kwenye kampeni za chama cha siasa na sasa mitandaoni mjadala ni mtama na mabange ya Mchomvu
Mchomvu kathibitisha kuwa hana hekima na anazidi kujiweka pabaya zaidi kwa kusema bado hajamalizana na Mbasha hivyo atamtafuta na akimpata hajui nini kitatokea...hivi ikitokea Mbasha kapata tatizo lolote mtuhumiwa wa kwanza atakuwa nani?
Majisifu, ubabe na kujiona bora vitamwangamiza Mchomvu...nimemsikia akisema kajibrand kwa miaka 20 hivyo hakubali kenge mmoja amharibie...Mchomvu hii ni laana...Mungu hadhihakiwi wala habezwi wala hajaribiri
Msanii Dotnata kwa kulewa sifa kama za mchomvu aliwahi kujivuna kuwa hayuko tayari kuona ID yake aliyoibrand kwa gharama kubwa inaharibiwa na vimtu...Baada ya kauli hiyo Dotnata hakuwahi kusimama tena...ukimuona leo unaweza kutoa machozi
Mwingine ni Anthony Lusekolo mzee wa upako ..aliwahi kujimwambafy kuwa katumia almost billion 60 kuji brand leo hii kuna watu wanataka kumchafua kwa bei chee....!!!!Leo hii yuko wapi huyu kiumbe?
Kama wewe sio mabange hupaswi kupaniki..unaipotezea uone kama hutapata point 3 muhimu.
Poleni chama kwa disco kuingia mmasai, lichukulieni hili kiroho zaidi...!!!!!
Hahah kwani upo wapi saizi bwashee?Bwashee sisi ndio tuliasisi Chadema pale kisutu majamatini na akina Shanga kwa hiyo ni haki na wajibu wangu kuikumbuka ki roho safi.
Kama siyo Lyatonga kutushtua labda tungeendelea kuwepo!
Kujichukulia sheria mkononi ama kutishia ni kosa la jinai kwa mujibu wa katiba yetuKama amempa Mbasha amekosea alipaswa kwenda kumshitaki na siyo kumpiga!
Mbasha akimshitaki jamaa atatiwa hatiani
Mapema sana!
Hili jambo lishughulikiwe kwa umakini sivyo vitendo vya watu kupigana vitaongezeka kwenye jamii, jamii yetu inapaswa kubaki katika amani na utulivu wakati wote.
Hiii inaitwa mende kabeba kabati yaani dhima yoote ya jana imeharibiwa na hao vijanaKuna vitu tafsiri zake huwa ni za kiroho pekee..unaweza kupangilia jambo lako kwa umakini wa hali ya juu na kuchukuaa tahadhari zote lakini likaja kufelishwa ana kuharibiwa na kitu kidogo kabisa.
Adam Mchomvu kaharibu shughuli nzima. Shughuli iliyoandaliwa kwa gharama kubwa na kukusanya watu wengi pamoja na vyombo vingi vya habari... Mungu akaiseta na kuipiga teke kupitia mtajwa hapo juu akiwa mmoja wa washereheshaji waliokabidhiwa jukumu la kuiendesha shughuli kwa mafanikio
Hekima ya mtu haionekani kwenye majisifu furaha na shangwe hapo kila mtu huonesha hekima sana...hekima halisi huonekana kwenye changamoto hasa mlengwa anapoguswa uhalisia hasi wa ndani yake.
Mchomvu pamoja na kumlaumu Emanuel Mbasha ..mmoja wa wasanii walioalikwa alikuwa na kila uwezo wa kufanya shughuli nzima isiharibike. Yeye kwa wakati ule ndio alikuwa dereva kwenye jahazi. Kejeli ya abiria haingeweza kumtatiza mpaka asabbabishe chombo kiende mrama.
Hekima...hekima..hekima...kwa kuzingatia jukumu alilokuwa nalo jukwaani angepotezea kejeli ya utan(i?) Ya kuitwa Mchomvu mabangi ili amalize shughuli kisha afuate njia sahihi za kumuadabisha mbaya wake...hilo halikufanyika
Kitendo cha kumpiga mtama Mbasha pale jukwaani na baadae kumfuata nyuma ya jukwaa akitaka kumpiga tena na mwendelezo wa kuahidi kumtia adabu kimefunika dhima ya tukio zima la ufunguzi wa nyimbo za wasanii kwenye kampeni za chama cha siasa na sasa mitandaoni mjadala ni mtama na mabange ya Mchomvu
Mchomvu kathibitisha kuwa hana hekima na anazidi kujiweka pabaya zaidi kwa kusema bado hajamalizana na Mbasha hivyo atamtafuta na akimpata hajui nini kitatokea...hivi ikitokea Mbasha kapata tatizo lolote mtuhumiwa wa kwanza atakuwa nani?
Majisifu, ubabe na kujiona bora vitamwangamiza Mchomvu...nimemsikia akisema kajibrand kwa miaka 20 hivyo hakubali kenge mmoja amharibie...Mchomvu hii ni laana...Mungu hadhihakiwi wala habezwi wala hajaribiri
Msanii Dotnata kwa kulewa sifa kama za mchomvu aliwahi kujivuna kuwa hayuko tayari kuona ID yake aliyoibrand kwa gharama kubwa inaharibiwa na vimtu...Baada ya kauli hiyo Dotnata hakuwahi kusimama tena...ukimuona leo unaweza kutoa machozi
Mwingine ni Anthony Lusekolo mzee wa upako ..aliwahi kujimwambafy kuwa katumia almost billion 60 kuji brand leo hii kuna watu wanataka kumchafua kwa bei chee....!!!!Leo hii yuko wapi huyu kiumbe?
Kama wewe sio mabange hupaswi kupaniki..unaipotezea uone kama hutapata point 3 muhimu.
Poleni chama kwa disco kuingia mmasai, lichukulieni hili kiroho zaidi...!!!!!
Siku zote character ya mtu ndiyo jambo kubwa kuliko chochote. Talent bila character ni kazi bure huwa ni kitu cha muda mfup lakini ukiwa na tabia njema hujenga jina jema kwa mtu.Mnaosema Adam kakosea mnakumbuka Zidane alichokifanya kwa Materazzi kwenye fainali za kombe la dunia 2006. Chanzo chake hakina tofauti na chanzo cha mbasha. Kumvunjia mtu heshima mbele ya hadhara si jambo jema, ukuzingatia hadhara yenyewe hadi Rais wa nchi yupo anatizama. Nina imani hata Mh. Magu kimoyo moyo amesupport uamuzi wa Adam. Majina ya watu maarufu ni Brand jitahidi kuyaheshimu haswa unapokua mbele ya Hadhira, ila kama mko chobingo huko vichochoroni utani ruksa.