Mchomvu 'mabangi' anapoonesha mabange yake

Mchomvu 'mabangi' anapoonesha mabange yake

JEJE.jpg

MTM.JPG
 
Ulimi kiumbo kidogo matatizo yake makubwa;

MBASHA
Kateleza na akajua kwamba kateleza na alishindwa kuiepusha ile skendo pale jukwaani akaruhudu kudhalilishwa.

MCHOMVU
Bange ni kweli alichokionyesha pale ndio madhara haswa ya bange. Bange haikupi muda wa kutafakari bali muda wa kutekeleza.

Simlaumu MCHOMVU Bali waliompa kazi ha ku host, mchomvu hastahili kupewa show delicate kama ile ambayo inabeba jina la Chama Kikubwa Cha siasa na kubeba Jina kubwa la Rais wa Nchi.

Ukimfuatilia hata katika interviews anazofanya na wasanii mbalimbali katika kipindi cha XXL Hamis Mandi aka Twangala Twiz aka B12 alikua akimpa backup kubwa sana akiwa Kama bosi wake.

On the contrary
Vijana wa Arusha yawezekana wanatatizo hilo la kutochagua kichaka Cha kumaliza haha zao. Mhe. Godbless Lema aliwahi kufanya tukio linaloendana na hili katika uzinduzi wa Wodi ya Wazazi/Zahanazi Arusha (am stand to be corrected)
Wakulaumiwa ni madalali wa chama ...malipo ya washereheshaji makini yalipigwa panga kisha wakatafutwa level ya kupokea chochote..so they don't know the sensitivity of the function
 
Umenihukumu kwa makosa makubwa kabisa ..ni mangapi yametokea na sijaandika chochote hapa!?
Matukio ya Hai Arusha na Mbeya yote yametrend sijaandika chochote..kuandika hili imekuwa kosa?
Darmian pls think twice...
Okay sorry brother,let me think twice..
 
Ulimi kiumbo kidogo matatizo yake makubwa;

MBASHA
Kateleza na akajua kwamba kateleza na alishindwa kuiepusha ile skendo pale jukwaani akaruhudu kudhalilishwa.

MCHOMVU
Bange ni kweli alichokionyesha pale ndio madhara haswa ya bange. Bange haikupi muda wa kutafakari bali muda wa kutekeleza.

Simlaumu MCHOMVU Bali waliompa kazi ha ku host, mchomvu hastahili kupewa show delicate kama ile ambayo inabeba jina la Chama Kikubwa Cha siasa na kubeba Jina kubwa la Rais wa Nchi.

Ukimfuatilia hata katika interviews anazofanya na wasanii mbalimbali katika kipindi cha XXL Hamis Mandi aka Twangala Twiz aka B12 alikua akimpa backup kubwa sana akiwa Kama bosi wake.

On the contrary
Vijana wa Arusha yawezekana wanatatizo hilo la kutochagua kichaka Cha kumaliza haha zao. Mhe. Godbless Lema aliwahi kufanya tukio linaloendana na hili katika uzinduzi wa Wodi ya Wazazi/Zahanazi Arusha (am stand to be corrected)
Without thinking twice...
Screenshot_20200816-153152.jpg
 
Kwa aina ya mtangazaji hasa wa burudani nampa excuse Mchomvu kabsa alimvumilia sana imagine mtu akutusi then aenze kukuvuta vuta na wadau tumeona kbsa namna Mchomvu ila hali hakutaka hata kuguswa mwilini. Napendekeza aliyemhoji Mchomvu na media zingine wawe wasuluhishi hata mbele ya camera
True..Mchomvu alikuwa ashampotezea baada ya Mbasha kumuita bhange..ilibidi asome body language ya Adam na ashuke jukwaani,yeye akarudia tena kusema Adamu ni bangi kwa mara ya pili..mtu mwenye hasira lazima akupasue tu
 
Wakulaumiwa ni madalali wa chama ...malipo ya washereheshaji makini yalipigwa panga kisha wakatafutwa level ya kupokea chochote..so they don't know the sensitivity of the function

Ile ni show ya entertainment na majina makubwa kwenye hayo mambo ni kina Adam,Dozen n.k..mshereheshaji makini kama nani?..mrisho mpoto?
 
Akina junior wameharibu shoo ya kitaifa.

Mbona kila kitu kinaenda tofauti na mipango, ni mkono wa shetani au malaika unawaandama.

Tetemeko tetemeko, mko wapi watu wa rohoni mtoe huu unabii.
 
Brother jitendee haki basi kwa kuacha kuingia kwenye mkumbo wa kupoteza muda wako kusoma kisha kuchangia upuuzi
sawa jamaa lakini ukiona nimechangia upuuzi basi inawezekana hata kilichopostiwa ni upuuzi pia
 
True..Mchomvu alikuwa ashampotezea baada ya Mbasha kumuita bhange..ilibidi asome body language ya Adam na achuke jukwaani,yeye akarudia tena kusema Adamu ni bangi kwa mara ya pili..mtu mwenye hasira lazima akupasue tu

Nikimtathimini Mchomvu kazi nampa ntamtune kidogo tu, na pale waandaaji walipaswa kumsaidia Mchomvu baada ya kutukanwa na Mbasha wakosaji wakuu kwa tulichoshuhudia ni crew ya tukio, baada ya maneno ya mbasha ilitakiwa intervention ya haraka sana
kwanza kauli imetoka kwa mwimbaji wa injili hio tu ilibidi wastuke maana ilibidi wapate shaka kuwa labda kaja stejini akiwa kalewa ni abnormal mtu kama Mbasha asikike vile. Mchomvu hakupewa protection na crew ilipoteza uwajibikaji wa kimaudhui na heshima kwa hadhira.
 
Kuna vitu tafsiri zake huwa ni za kiroho pekee..unaweza kupangilia jambo lako kwa umakini wa hali ya juu na kuchukuaa tahadhari zote lakini likaja kufelishwa ana kuharibiwa na kitu kidogo kabisa.

Adam Mchomvu kaharibu shughuli nzima. Shughuli iliyoandaliwa kwa gharama kubwa na kukusanya watu wengi pamoja na vyombo vingi vya habari... Mungu akaiseta na kuipiga teke kupitia mtajwa hapo juu akiwa mmoja wa washereheshaji waliokabidhiwa jukumu la kuiendesha shughuli kwa mafanikio

Hekima ya mtu haionekani kwenye majisifu furaha na shangwe hapo kila mtu huonesha hekima sana...hekima halisi huonekana kwenye changamoto hasa mlengwa anapoguswa uhalisia hasi wa ndani yake.

Mchomvu pamoja na kumlaumu Emanuel Mbasha ..mmoja wa wasanii walioalikwa alikuwa na kila uwezo wa kufanya shughuli nzima isiharibike. Yeye kwa wakati ule ndio alikuwa dereva kwenye jahazi. Kejeli ya abiria haingeweza kumtatiza mpaka asabbabishe chombo kiende mrama.

Hekima...hekima..hekima...kwa kuzingatia jukumu alilokuwa nalo jukwaani angepotezea kejeli ya utan(i?) Ya kuitwa Mchomvu mabangi ili amalize shughuli kisha afuate njia sahihi za kumuadabisha mbaya wake...hilo halikufanyika

Kitendo cha kumpiga mtama Mbasha pale jukwaani na baadae kumfuata nyuma ya jukwaa akitaka kumpiga tena na mwendelezo wa kuahidi kumtia adabu kimefunika dhima ya tukio zima la ufunguzi wa nyimbo za wasanii kwenye kampeni za chama cha siasa na sasa mitandaoni mjadala ni mtama na mabange ya Mchomvu

Mchomvu kathibitisha kuwa hana hekima na anazidi kujiweka pabaya zaidi kwa kusema bado hajamalizana na Mbasha hivyo atamtafuta na akimpata hajui nini kitatokea...hivi ikitokea Mbasha kapata tatizo lolote mtuhumiwa wa kwanza atakuwa nani?

Majisifu, ubabe na kujiona bora vitamwangamiza Mchomvu...nimemsikia akisema kajibrand kwa miaka 20 hivyo hakubali kenge mmoja amharibie...Mchomvu hii ni laana...Mungu hadhihakiwi wala habezwi wala hajaribiri

Msanii Dotnata kwa kulewa sifa kama za mchomvu aliwahi kujivuna kuwa hayuko tayari kuona ID yake aliyoibrand kwa gharama kubwa inaharibiwa na vimtu...Baada ya kauli hiyo Dotnata hakuwahi kusimama tena...ukimuona leo unaweza kutoa machozi

Mwingine ni Anthony Lusekolo mzee wa upako ..aliwahi kujimwambafy kuwa katumia almost billion 60 kuji brand leo hii kuna watu wanataka kumchafua kwa bei chee....!!!!Leo hii yuko wapi huyu kiumbe?

Kama wewe sio mabange hupaswi kupaniki..unaipotezea uone kama hutapata point 3 muhimu.

Poleni chama kwa disco kuingia mmasai, lichukulieni hili kiroho zaidi...!!!!!
Mtani dawa ya mjinga ni kibano tu
 
Back
Top Bottom