LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,511
Mbasha alijikazaa kupotezea nilichekaaa😅😂😅yani like nothing happenedInawezekana angemind pia hata angekuwa B12 kwasababu kwa maelezo ya Adam ni kwamba neno lililotumika la bangi halikuwa sawa kwa maeneo yale since watu na heshima zao walikuwa wanafuatilia kipindi....
Inawezekana alikasirika sababu ya kuzushiwa uvutaji bangi....kuzushiwa kunakera ujue