Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,165
- 831,900
- Thread starter
- #121
Huwezi kuvuta bangi na matokeo yake asionekaneSiku zote character ya mtu ndiyo jambo kubwa kuliko chochote. Talent bila character ni kazi bure huwa ni kitu cha muda mfup lakini ukiwa na tabia njema hujenga jina jema kwa mtu.
Kama havuti bangi angeambia hivyo?. Kosa si la mbasha bali ni mchomvu maana hiyo ni tabia ameijenga Kwa muda mfupi. Huwezi kuvuta bangi na matokeo yake asionekane










