mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,864
- 136,766
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna aliyekosea pale wote wametufurahisha
Imagine ile shughuli ingeisha bila dosari waandaji wangejiona wamekamilisha kwa ubora wa 100%
Ila sasa hivi wana “tungejua” nyingi tu
Mnastahili pongezi Adam na Mchomvu mmecheza part zenu vyema kabisa, uzuri hakuna aliyemwaga damu, kilichomwagika tu ni heshima zenu( kama mnazo lakini[emoji847]) na za hao mabwana kijani waliowakodi[emoji847][emoji847][emoji847]
Tunashukuru!
Mchomvu kafanya jambo la kawaida sana kwa wavuta jani na watafuna mbegu.Jo CHADEMA na watu wake wamegandana na ngozi yako naona
Vichaa Waokota makopo kila wanapo liona kopo lazima waliokote!!Wavuta bange wana matatizo sana.
Sugu juzi kampiga mkwara afisa wa polisi, kilichofuatia wote tulikiona!
Ndo maana juhudi za kuhalalisha bangi hapa Tanzania zitachelewa zaidi.
Mzee lazima udakwe na ufumuliwe tena.. Ule mtama haujakutosha 😂😂😂Inafurahisha kuona mpaka sasa tunakaribia robo ya karne hii ya 21 na bado kuna watu wanapigana mateke hadharani na kuahidi kutafutana mitaani ili wamalizane! Huu ubabe wa kizamani nilidhani uliishia karne ya 19 na 20.
Usinifokee...!Mchomvu kafanya jambo la kawaida sana kwa wavuta jani na watafuna mbegu.
Ndio maana nikakupa mfano wa nyumbani ili uone alichofanya Adam ni cha mtoto ......japo najua unachomaanisha nyuma ya pazia ni zaidi ya Adam.
Natamani nawe siku moja ule mtama kama wa MbashaNdio naamka hapa baada ya kula fleva za bongo music
Aisee..ila CCM wana laana ,inawezekana kuna damu zinawalilia aisee,tamasha muhimu kama hili,wajitafakari watubu..Wabongo bana huyo mbasha sijui basha kabutuliwa na mchovu ajabu lawama inapewa bangi hivi bangi ilishawafanyia nini? yahani mnataka kusahau kua huyo mchovu ni binadamu na yeye anamihemuko kama watu wengine, Kama huyo mbasha mwenyewe alishindwa kutumia busara iweje mwenzie atumie busara.
Tatizo wabongo tunakosa mambo ya msingi ya kujadili ndio mahana vitu vya kipuuzi kama hivi vinakua habari, juzi Kati hapa mlikua mnapiga kelele za Uchebe na shilole, leo hii naona mchomvu na basha wamekua topic.
Halafu acheni kabisa kuhusanisha bangi na ujinga unaofanywa na watu kwa hulka zao za kibinadamu, sisi bangi ni sehemu ya ibada kabisa na kuna watu wengi wanavuta bangi wanafanya mambo makubwa kwenye jamii zao mbona hua hamuhisifii bangi au linapotokea jambo baya ndio bangi huonekana