Mchomvu 'mabangi' anapoonesha mabange yake

Mchomvu 'mabangi' anapoonesha mabange yake

Ni bora univunje mguu kuliko kunivunjia heshima halafu unajibu simply eti ulikuwa unanitania tu! Mbona mimi sikukutania wewe?
 
Hakuna aliyekosea pale wote wametufurahisha
Imagine ile shughuli ingeisha bila dosari waandaji wangejiona wamekamilisha kwa ubora wa 100%

Ila sasa hivi wana “tungejua” nyingi tu.

Mnastahili pongezi Adam na Mchomvu mmecheza part zenu vyema kabisa, uzuri hakuna aliyemwaga damu, kilichomwagika tu ni heshima zenu(kama mnazo lakini[emoji847]) na za hao mabwana kijani waliowakodi[emoji847][emoji847][emoji847]

Tunashukuru!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mshana bhana..huwa hakuna linalotrend akaacha kulifungulia uzi
Umenihukumu kwa makosa makubwa kabisa ..ni mangapi yametokea na sijaandika chochote hapa!?
Matukio ya Hai Arusha na Mbeya yote yametrend sijaandika chochote..kuandika hili imekuwa kosa?
Darmian pls think twice...
 
Wabongo bana huyo mbasha sijui basha kabutuliwa na mchovu ajabu lawama inapewa bangi hivi bangi ilishawafanyia nini? yahani mnataka kusahau kua huyo mchovu ni binadamu na yeye anamihemuko kama watu wengine, Kama huyo mbasha mwenyewe alishindwa kutumia busara iweje mwenzie atumie busara.

Tatizo wabongo tunakosa mambo ya msingi ya kujadili ndio mahana vitu vya kipuuzi kama hivi vinakua habari, juzi Kati hapa mlikua mnapiga kelele za Uchebe na shilole, leo hii naona mchomvu na basha wamekua topic.

Halafu acheni kabisa kuhusanisha bangi na ujinga unaofanywa na watu kwa hulka zao za kibinadamu, sisi bangi ni sehemu ya ibada kabisa na kuna watu wengi wanavuta bangi wanafanya mambo makubwa kwenye jamii zao mbona hua hamuhisifii bangi au linapotokea jambo baya ndio bangi huonekana
Brother jitendee haki basi kwa kuacha kuingia kwenye mkumbo wa kupoteza muda wako kusoma kisha kuchangia upuuzi
 
Wabongo bana huyo mbasha sijui basha kabutuliwa na mchovu ajabu lawama inapewa bangi hivi bangi ilishawafanyia nini? yahani mnataka kusahau kua huyo mchovu ni binadamu na yeye anamihemuko kama watu wengine, Kama huyo mbasha mwenyewe alishindwa kutumia busara iweje mwenzie atumie busara.

Tatizo wabongo tunakosa mambo ya msingi ya kujadili ndio mahana vitu vya kipuuzi kama hivi vinakua habari, juzi Kati hapa mlikua mnapiga kelele za Uchebe na shilole, leo hii naona mchomvu na basha wamekua topic.

Halafu acheni kabisa kuhusanisha bangi na ujinga unaofanywa na watu kwa hulka zao za kibinadamu, sisi bangi ni sehemu ya ibada kabisa na kuna watu wengi wanavuta bangi wanafanya mambo makubwa kwenye jamii zao mbona hua hamuhisifii bangi au linapotokea jambo baya ndio bangi huonekana
umeongea point kbs waache kuhusisha ganja na mambo ya kijinga
 
Batiri ni batiri, mambo ya kibangi bangi huisha kibangi bangi, mchomvu ameifanya wiki-end yangu inoge, mzaha kwenye kazi sio mzuri, iwe fundisho na kwa wengine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshana Jr,

Mchomvu nampa excuse alimvumilia sana yule Mbwa Mbasha, maana Mbasha ndiye alioongea kilevi na kiubangi ebu rudia tena na tena ongea ya Mbasha pale stage siyo ya mtumishi mwenye utimamu ni muhimu ubalance kwa kuchakata pande zote. Mbasha alizingua sana sana.
 
Vichaa Waokota makopo kila wanapo liona kopo lazima waliokote!

Tofauti yako na wao ni ndogo sana huwezi kufikiri bila kuwaza chadema huwa unapata usingizi Kweli!? Tafuta ma Dr wakutibu huo ugonjwa!
Mwanasimba kuiwaza Yanga ni jambo la kawaida sana.

Sema nyie wanywa mbege ndio hamuwezi kuwaza ulanzi ajili ya ukabila!
 
Mchomvu nampa excuse alimvumilia sana yule Mbwa Mbasha, maana Mbasha ndiye alioongea kilevi na kiubangi ebu rudia tena na tena ongea ya Mbasha pale stage siyo ya mtumishi mwenye utimamu ni muhimu ubalance kwa kuchakata pande zote. Mbasha alizingua sana sana
Sikatai lakini kwa impression hiyo Mchomvu alikuwa na dhima kubwa ya kuonesha weledi, hekima na uwajibikajj kazini...
 
Binafsi niliona Mbasha kaongea katika namna ya utani pale(kishkaji)

Lakini hatuwezi kujua labda kuna sehemu kadhaa tofauti na pale walishakwaruzana...Mchomvu anatakiwa kujifunza namna ya kupotezea mambo yasiyo ya msingi,alichokifanya kinaweza kushabikiwa na baadhi ya watu lakini amejiharibia

Sema video inachekesha pale Mbasha alivyoamka baada ya mtama akasema oyooooo Mchomvu umezingua!!

Umeegea kumlaumu mchomvu tu balance story insanity is with anybody including urself. Vita ni vita balance story, mnaona ubwege wa mwimbaji wa injili unavumilika sio!!?
 
Umenihukumu kwa makosa makubwa kabisa ..ni mangapi yametokea na sijaandika chochote hapa!?
Matukio ya Hai Arusha na Mbeya yote yametrend sijaandika chochote..kuandika hili imekuwa kosa?
Darmian pls think twice...
Wala hajakuhukumu, ispokuwa kasema ukweli.
 
Sikatai lakini kwa impression hiyo Mchomvu alikuwa na dhima kubwa ya kuonesha weledi, hekima na uwajibikajj kazini.
Kwa aina ya mtangazaji hasa wa burudani nampa excuse Mchomvu kabsa alimvumilia sana imagine mtu akutusi then aenze kukuvuta vuta na wadau tumeona kbsa namna Mchomvu ila hali hakutaka hata kuguswa mwilini. Napendekeza aliyemhoji Mchomvu na media zingine wawe wasuluhishi hata mbele ya camera
 
Ulimi kiumbo kidogo matatizo yake makubwa;

MBASHA

Kateleza na akajua kwamba kateleza na alishindwa kuiepusha ile skendo pale jukwaani akaruhudu kudhalilishwa.

MCHOMVU
Bange ni kweli alichokionyesha pale ndio madhara haswa ya bange. Bange haikupi muda wa kutafakari bali muda wa kutekeleza.

Simlaumu MCHOMVU Bali waliompa kazi ha ku host, mchomvu hastahili kupewa show delicate kama ile ambayo inabeba jina la Chama Kikubwa Cha siasa na kubeba Jina kubwa la Rais wa Nchi.

Ukimfuatilia hata katika interviews anazofanya na wasanii mbalimbali katika kipindi cha XXL Hamis Mandi aka Twangala Twiz aka B12 alikua akimpa backup kubwa sana akiwa Kama bosi wake.

On the contrary

Vijana wa Arusha yawezekana wanatatizo hilo la kutochagua kichaka Cha kumaliza haha zao. Mhe. Godbless Lema aliwahi kufanya tukio linaloendana na hili katika uzinduzi wa Wodi ya Wazazi/Zahanazi Arusha (am stand to be corrected)
 
Mnaosema Adam kakosea mnakumbuka Zidane alichokifanya kwa Materazzi kwenye fainali za kombe la dunia 2006. Chanzo chake hakina tofauti na chanzo cha mbasha. Kumvunjia mtu heshima mbele ya hadhara si jambo jema, ukuzingatia hadhara yenyewe hadi Rais wa nchi yupo anatizama. Nina imani hata Mh. Magu kimoyo moyo amesupport uamuzi wa Adam. Majina ya watu maarufu ni Brand jitahidi kuyaheshimu haswa unapokua mbele ya Hadhira, ila kama mko chobingo huko vichochoroni utani ruksa.
Makosa mawili hayafanyi Jambo kuwa sahihi
 
Back
Top Bottom