Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Ninadhani mada yako ingekuwa ya kuhusu sukari tu, hoja ya IQ umeipoteza kabisa maana yake!! Unaleta dhana kuwa ukiwa na IQ kubwa basi unapaswa kukubaliana na hoja na ukiipinga unakuwa na IQ ndogo.

Mkuu, 1+8 = 9, 3x3 = 9, 14-5=9, 18/2=9. Namba zote hapo hazifanani, na hata aljebra pia - lakini jibu ni 9! Maana ya hii ni kwamba kuna njia nyingi tofauti za kufanya mambo na matokeo yakawa ya aina moja. IQ kubwa inasaidia kujenga uwezo wa kutambua njia hizo, sio kukubali kila unachoambiwa!! IQ ndogo inaleta upofu - sio kukataa jambo.

Tuache tabia ya kuona fikra tofauti ya kufanya mambo ni kosa. Tunajifunza katika tofauti hizo!!
mkuuuu una IQ kubwa vbaya.....
hawa jamaa ukipinga wanatafuta kila 7bu ya kukutukana....msimamo ule ule,.
 
serikali ya China ilikusanya vichwa vyote nchini..vikapigwa crash course tata by 19 wakawa na Phd..wakenda US waka enroll degree course..kazii yao kuu ikawa kuiba intell na kusoma mfumo mzima wa USA
 
Kwa wale ambao labda hawafahamu Bell Curve ni nini, hii ilipendekezwa na Wanasayansi wa Kimarekani waliokuwa wanafanya utafiti wa IQ (uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo) kwa watu wa asili tofauti tofauti hasa nchini Marekani ambapo kuna watu wa jamii ya kila aina yaani Wazungu (Ulaya), Weusi(Afrika Kusini mwa Sahara), Waasia (Wachina, Korea, Japan &Co.) , lengo lao lilikuwa ni kutaka kujaribu kuelezea hali ya maisha ya jamii mbalimbali yaani kwa nini jamii fulani ni masikini klk jamii nyingine!

Hawa watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Asia na Ulaya na hii inaelezea kwa nini Wamrekani weusi wako kwenye ngazi ya chini ya Kimaendeleo ukilinganisha na jamii nyingine!

Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuaitwa na Wazungu wa Ulaya!

Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne Tanzania nzima inasema nini?

Amepata B ya Kiswahili, lugha ambayo siyo yake na wala sia ajabu haiongei nyumbani amewapita watoto wengi sana wa Kiswahili,
najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!

Nikiangali kwa mfano kwa hali ya kawaida Rais aliyeonesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kila jitihada anazofanya badala ya kuungana naye na kumsaidia kutatua mataizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua ni mihimu na nini siyo muhimu!

Nitatoa mfano Rais amepiga marufuku uagizwaji wa sukari nje mpaka pale yeye atakapotoa Kibali kwa kujidhihirisha kwamba kweli kuna sababu ya kufanya hivyo kuna watu wamejaza seva ya JF wanampinga Rais kwamba amekosea, wkt Rais ameseam lengo ni kukuza viwanda vya ndani ili viweze kuongeza Uzalishaji na kuanjiri Watz wengi zaidi, lkn watu wanapinga, sasa kama siyo tatizo IQ ndogo nini?
kwa uandishi wako tu umethibitisha kuwa wewe nae IQ yako ni ndogo sana.
hivi hoja yako hapa ni IQ ndogo za Waafrika ukilinganisha na wachina na race zingine au ni watu wanaompinga magufuli.
usitulazimishe tuwe na mtazamo sawa kwa anayoyafanya magufuli, mambo ya kijinga hufanyika pale wakosoaji wanapokaa kimya.
UKIONA WATU WOTE KWA WAKATI WOTE WANAMTAZAMO NA FIKRA SAWA UJUE FIKRA NA MITAZAMO YAO NI FINYU. USITAKE KUTUFIKISHA HAPA.
 
Nashauri huyo mtoto wa kichina kama si raia wa Tanzania apewe uraia haraka sana.Anajali nchi yetu na lugha yetu,Elimu yetu na mitihani yetu.Ni wageni wachache sana wanaoweza jipambanua hivyo.Wageni wengi ungekuta wanapenda kufanya mitihani ya cambridge nk Huyu wetu aliyefanya mitihani ya NACTE kweli tumpe uraia yeye na wazazi wake kama wanataka.Ila yeye nashauri kabisa apewe.
hawa watu huwa wanaamini sisi waafrica ni nyani
unahisi anaeza kukubali kujiunga kwenye jamii ya nyani tumbili?????
kma wanavyoamini???
huyu asifiwe2 kma hivi na aachwe
 
Barbarosa

Hamna colleration yote kufaulu Kiswahili na u taifa wa mtu.
Mimi O Level Kiswahili nilipata D na English A

CCM imeua shule zetu za Vipaji Maalum ambazo zilijijengea heshima Kubwa sana

SHULE ZETU ZA VIPAJI MAALUMU TUNAZOZIAMINI ZIKISHIKA NAFASI ZIFUATAZO

Ilboru- 53
Kibaha- 69
Mzumbe-71
Tabora boys-124
Kilakala-94
Tabora girls-123
Msalato-148

TAFAKARI PELEKA MTOTO PRIVATE
duhh kweli hamna kitu....
 
serikali ya China ilikusanya vichwa vyote nchini..vikapigwa crash course tata by 19 wakawa na Phd..wakenda US waka enroll degree course..kazii yao kuu ikawa kuiba intell na kusoma mfumo mzima wa USA
Khaa!..mkuu hatari sana na walikusanywa na umri gani,by 19 wakapata phD!,waliwakusanyaje,then phd to degree!
 
Kwa wale ambao labda hawafahamu Bell Curve ni nini, hii ilipendekezwa na Wanasayansi wa Kimarekani waliokuwa wanafanya utafiti wa IQ (uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo) kwa watu wa asili tofauti tofauti hasa nchini Marekani ambapo kuna watu wa jamii ya kila aina yaani Wazungu (Ulaya), Weusi(Afrika Kusini mwa Sahara), Waasia (Wachina, Korea, Japan &Co.) , lengo lao lilikuwa ni kutaka kujaribu kuelezea hali ya maisha ya jamii mbalimbali yaani kwa nini jamii fulani ni masikini klk jamii nyingine!

Hawa watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Asia na Ulaya na hii inaelezea kwa nini Wamrekani weusi wako kwenye ngazi ya chini ya Kimaendeleo ukilinganisha na jamii nyingine!

Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuaitwa na Wazungu wa Ulaya!

Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne Tanzania nzima inasema nini?

Amepata B ya Kiswahili, lugha ambayo siyo yake na wala sia ajabu haiongei nyumbani amewapita watoto wengi sana wa Kiswahili,
najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!

Nikiangali kwa mfano kwa hali ya kawaida Rais aliyeonesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kila jitihada anazofanya badala ya kuungana naye na kumsaidia kutatua mataizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua ni mihimu na nini siyo muhimu!

Nitatoa mfano Rais amepiga marufuku uagizwaji wa sukari nje mpaka pale yeye atakapotoa Kibali kwa kujidhihirisha kwamba kweli kuna sababu ya kufanya hivyo kuna watu wamejaza seva ya JF wanampinga Rais kwamba amekosea, wkt Rais ameseam lengo ni kukuza viwanda vya ndani ili viweze kuongeza Uzalishaji na kuanjiri Watz wengi zaidi, lkn watu wanapinga, sasa kama siyo tatizo IQ ndogo nini?
Nawe IQ yako ni ndogo zaidi kwa kunasibisha kipimo cha IQ na utendaji kazi wa JPM kwamba yuko sahihi kwa kila jambo kama unavyoamini.
 
CCM ndo imetufikisha apa..,.
kweli ukitaka kumtawala mtu milele,mnyime elimu...
naamini
 
Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuaitwa na Wazungu wa Ulaya!

Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne Tanzania nzima inasema nini?

Na huyo wa kwanza pia ni Asian!!! Nashangaa unaona mbili, lakini huoni moja.
Ninakubaliana na jitihada zote za Magufuli, lakini huhitaji kutumia IQ kuwasilisha hoja kama hii. By the way, anayekubali kila kitu inawezekana akawa na IQ ndogo zaidi.
 
Barbarosa

Hamna colleration yote kufaulu Kiswahili na u taifa wa mtu.
Mimi O Level Kiswahili nilipata D na English A

CCM imeua shule zetu za Vipaji Maalum ambazo zilijijengea heshima Kubwa sana

SHULE ZETU ZA VIPAJI MAALUMU TUNAZOZIAMINI ZIKISHIKA NAFASI ZIFUATAZO

Ilboru- 53
Kibaha- 69
Mzumbe-71
Tabora boys-124
Kilakala-94
Tabora girls-123
Msalato-148

TAFAKARI PELEKA MTOTO PRIVATE
Siku hizi nimeshuhudia wazazi wengi sana wakiwapeleka vijana wao private schools hata wapatapato nafasi ya kwenda kwenye hizo shule.

Enzi zile ukichaguliwa kujiunga na shule hizo ilikuwa nderemo na vifijo.
 
Babu yake alikuwa anajenga Reli ya Tazara au baba yake ni mwekezaji Kariakoo...???
 
Back
Top Bottom