Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Nataka namba za CongCong Wang aje ghetto dogo anareseat mwaka wa nne huu...

Na Hata Maana Ya Jina Lake CongCong Wang Ni Hilo Neno Cong Kichina Lina Maana Ya CLEVER Na Wangu Kichina Inamaana Ya KINGU Hivyo Kiufasaha Anaitwa CleverClever King Sasa Muite Mwanao SHIDA au SIKUJUA Uone Kimbembe Chake.
 
Nawaza tuu, mchina anapata B ya kiswahili anasikitika lakini sisi PhD holder anashindwa kuzungumza kiingereza fasaha alichokitumia kusomea kwa miaka kadhaa mpaka kuhitimu na tunaona kawaida tuu
Eti kuzungumza kiingereza ndio kuwa na elimu shiiiiiiiiiiiiiiiiti
 
Halafu kuna mapimbi wengine maprofesa wanadai watanzania wanafeli kwa sababu ya kiingereza wakati mchina amefaulu kiswahili akiwa anasoma shule ya English medium na hii siyo lugha yake ya mama.
 
genius wa ukweli anatoka shule za serikali uwezi linganisha mtu analipa ada 3M na 23000
 
Yuko wapi alhaji Mohamed said?

Huyu mzee wa hovyo sana

mchochezi wa udini hakuna mfano

Mchina kafauru vizuri haya sasa aseme necta inawapendelea wachina....Zee lisilokuwa kiakili wala kimaadili ...kila jambo hulitazama katika mlango wakidini...hovyo kabisa.
 
Na Hata Maana Ya Jina Lake CongCong Wang Ni Hilo Neno Cong Kichina Lina Maana Ya CLEVER Na Wangu Kichina Inamaana Ya KINGU Hivyo Kiufasaha Anaitwa CleverClever King Sasa Muite Mwanao SHIDA au SIKUJUA Uone Kimbembe Chake.
Hahahah..

Kina shida sikujua wamezungusha sana zero huko ngabobo sekondari
 
Back
Top Bottom