Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,634
😂😂😂😂😂😂wanakifanya kiswahili kionekane kigumu.Haaahaa 😊 😊 YAANI maswali complicated kwanini asiseme JADILI DHIMA AU KAZI ZA FASIHI KATIKAJAMII
😂😂😂😂😂😂wanakifanya kiswahili kionekane kigumu.Haaahaa 😊 😊 YAANI maswali complicated kwanini asiseme JADILI DHIMA AU KAZI ZA FASIHI KATIKAJAMII
Hatareee sanaa mzee😂😂😂😂😂😂wanakifanya kiswahili kionekane kigumu.
HeheheHahaha 😂
Wewe ukiambiwa huyu mtu ana kipaji wewe unatafsiri vp kauli hiyo?Kivipi mkuu.
Kwamba mtu huyu ana uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya kitu fulani (uwezo aliotoka nao tumboni).Wewe ukiambiwa huyu mtu ana kipaji wewe unatafsiri vp kauli hiyo?