watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Ulaya
Kwa mtazamo wangu umeaminishwa kuwa ni hivyo na wewe ukaamini kwamba IQ yako ni ndogo.Hakuna kitu kama hicho. unawaelezea vipi watanzania wanaokwenda kusoma nchi ambazo mfumo wao wa elimu unaendeshwa kwa lugha za kihispania,kichina,kirusi,kifaransa,kireno,kidachi,kibelgiji,kijerumani nk na bado wakachanganywa na wazawa na wakafaulu mitihani yote na kuhitimu ktk vyuo vikuu vyao na hata kuwa wanafunzi bora.Na unapozungumzia wamarekani weusi si swala la IQ bali ni swala la mazingira ,umasikini,kuathirika kisaikolojia na fursa duni vilivyokidhiri ktk jamii husika ndiyo vinavyochangia kuwa na uelewa mdogo.
100% nakuunga mkono, pia hizo hizo IQ za weusi walio wengi waliandama london eti kupinga yaliyotokea zanzibar na wengine wanadai eti wanaenda fungua kesi ulaya kwa kunyimwa haki zao za uchaguzi wa haki, hizi IQ wazungu wanaendelea kupima na kujiridhisha zaidi kuwa tafiti zao ziko sahihi, tena inawezekana walipendelea maana hizi IQ ziko sub zero kabisa!
Tatizo unalodai kuwepo kwako unaenda kwa watu kutaka wakusaidie kulitatua ilhari wee ni mtu mzima mwenye 'akili' timamu, Hovyo kabisa! Unazira kisha unadai unanyimwa haki, hizi ni akili kweli?
Mleta mada umeumganisha vizuri point zako kuanzia kwa mchina mpaka kwenye uhalisia.
Hivi kwani watanzania wangapi kila mwaka wanapata A au B za lugha ngeni kama Kiingereza, Kifaransa zinazofundishwa mashuleni hadi leo iwe nongwa hivi mchina kupata B tu ya kiswahili?
Nisome vizuri labda utanielewa, najinukuu ukusadia ,,najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!
ana uraia wa aina gani,wakuzaliwa ama wa kuomba??Kwani yeye siyo mtanzania au kisa kaumbwa kwa ngozi ya Jet li?
Ukijaribu kuangalia mleta uzi na wewe mmeungana katika hoja, sina shida na hilo ila sijui mnachoshangaa ni nini wakati mnasema waafrika weusi wana IQ ndogo ikiwepo na Magufuli. Sasa kama hilo ni kweli huoni hata huyo Magufuli akipingwa ni sawa kwani ni wazo la mtu mwenye IQ ndogo kutokana na rangi yake? Jamani mnajaribu kumsifia Magufuli mpaka mmefikia mahali mnaweka kashfa ili hoja zenu zikubalike za kumsifia Magufuli? Huwa mnashangaza sana, mnalazimisha kusifia tu, lakini akiambiwa ukweli kwamba ni kipi kikubwa alichofanya ambacho mwananchi anaweza kusema wangalau sasa anaona tofauti kwenye maisha yake, mnaishia kusema bado ni mapema!! Sasa kama ni mapema sana kwanini mumsifie kupita kiasi wakati bado ni mapema?
Mkuu unaona beyond mazoea.jinsi alivyokaa na kuubalance mwili wake ukilinganisha na watangazaji wetu, ni dhahili sisi ni wavivu wa mwili mpaka akili labda!
Vipi hivi unajua huwa nashangaa MTU anayepataha F form four....Aisee unapataje F 4m fourHata Mimi nilipata F 9 Na D moja ya kiingereza
Tayari wewe mwenyewe umeshaprove kuwa IQ ya weusi ni ndogo, andiko lako linachanganya mambo, issue ya sukari unaileta vipi kwenye issue ya IQ?Kwa wale ambao labda hawafahamu Bell Curve ni nini, hii ilipendekezwa na Wanasayansi wa Kimarekani waliokuwa wanafanya utafiti wa IQ (uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo) kwa watu wa asili tofauti tofauti hasa nchini Marekani ambapo kuna watu wa jamii ya kila aina yaani Wazungu (Ulaya), Weusi(Afrika Kusini mwa Sahara), Waasia (Wachina, Korea, Japan &Co.) , lengo lao lilikuwa ni kutaka kujaribu kuelezea hali ya maisha ya jamii mbalimbali yaani kwa nini jamii fulani ni masikini klk jamii nyingine!
Hawa watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Asia na Ulaya na hii inaelezea kwa nini Wamrekani weusi wako kwenye ngazi ya chini ya Kimaendeleo ukilinganisha na jamii nyingine!
Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuaitwa na Wazungu wa Ulaya!
Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne TanZania nzima inasema nini?
Amepata B ya Kiswahili, lugha ambayo siyo yake na wala sia ajabu haiongei nyumbani amewapita watoto wengi sana wa Kiswahili, najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!
Nikiangali kwa mfano kwa hali ya kawaida Raisi aliyeonyesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kilam jitihada anazofanya badal ya kuungana naye na kumsaidia kutatua mataizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua ni mihimu na nini siyo muhimu!
Nitatoa mfano Raisi amepiga marufuku uagizwaji wa sukari nje mpaka pale yeye atakapotoa Kibali kwa kujidhihirisha kwamba kweli kuna sababu ya kufanya hivyo kuna watu wamejaza seva ya JF wanampinga Raisi kwamba amekosea, wkt Raisi ameseam lengo ni kukuza viwanda vya ndani ili viweze kuongeza Uzalishaji na kuanjiri Watz wengi zaidi, lkn watu wanapinga, sasa kama siyo tatizo IQ ndogo nini?
Na ndiyo hapo swala la IQ linapokuja sasa, kwa jamii nyingine mtu hawezi kumuhukumu Raisi aliyok madarakani kwa muda wa miezi 3 tu kwamba hajaboresha maisha, hakuna jinsi ambavyo unaweza kulielezea jambo kama hili isipokuwa uwezo tu mdogo wa kufikiri siyo tusi ni ukweli TU!
hii mada yako inahusu siasa au huo utafiti?
weusi kwa wastani wana uwezo mdogo wa kufikiri ila mambo ya kumpinga/kumuunga mkono magufuli hapa nadhani sio relevant
maana anayepinga hili suala la kuzuia sukari kutolewa nje yupo sahihi kwa kua itapunguzia ushindani kwa viwanda vyetu na na efficiency pia itapungua
magufuli nae yupo sahihi pia kupiga marufuku kutasaidia kuvibeba viwanda vya ndani
so anayepinga na anayeunga mkono wote wapo sahihi kwa namna moja au nyingine na sio kusema wana iq ndogo