Ndugu angalia kwanza CV ya huyo mtoto amekuja TZ akiwa na miaka 9 hajui Kiingereza wala Kiswahili, kumbuka hao watoto wa academy wanasoma Kiingeraza tangu cheke chea hivyo ina maana huyu binti ametumia miaka michache tu kuziba hilo pengo na bado ameongoza TZ nzima!
Kama niliyosema sijahitimisha chochote ila nimeuliza maswali kwa maana hili swala linajadiliwa Dunia nzima kwamba watu wa Waasia yaani Wachina, Wajapani, Wakorea, wana IQ kubwa klk binadamu wote hapa Duniani hata Marekani takwimu zinaonyesha kwamba Wamarekani wenye asili ya Asia (Ujapani, Uchina na Korea) ndiyo wanaongoza kwa ufaulu wakifwatiwa na Wazungu na sisi ni wa mwisho, asilimia 60 (60%) ya Wanafunzi walioko graduate schools Marekani kwenye Ivy league kama Princeton, Harvard, Yale, & Co. Uni ni asili ya Asia, wamewashinda Wazungu ambao ndiyo wengi kwa kiasi kikubwa tu!
So IQ ni mazingira cio gene ya mtu?Eti wana IQ kubwa kuliko binadamu wote. Takataka. Historia ya IQ test ni ya kisiasa zaidi kuliko sayansi ya dhati.
Ina-elemea sana kwenye mazingira, kuliko genes. Kwa maana, hiyo muafrika na mchina wakikuzwa kwenye mazingira yaleyale, kwa wastani, watakuwa na IQ zinazofanana.
sasa kama mtu anajua hesabu ,kuna uwezekano mkubwa kufanya vizuri masomo mengineTuacheni utani wachina ni wagumu sana kuelewa huyo mchina ni genius tu kazaliwa hivyo.. Mimi nimesoma na wachina nchi za nje ni vilaza hatari. Wao wataluburuza tu kwenye Hesabu basi ..
ahaaaahaaaaajinsi alivyokaa na kuubalance mwili wake ukilinganisha na watangazaji wetu, ni dhahili sisi ni wavivu wa mwili mpaka akili labda!
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaKweli angalia IQ za ccm,museveni,kurunzinza utajua wanasema kweli au la
Mmhhh!!!!!!Nataka namba za CongCong Wang aje ghetto dogo anareseat mwaka wa nne huu...
Ha Ha Ha! Usinikumbushe O-Level miaka ileee ya 47. Kuna jamaa mmoja alikuwa ana akili sana. Alienda kwenye mkondo wa biashara baadae akabadili nia akaja darasani kwetu mkondo wa sayansi. Dah watu wakanza sema huyu anakuja chukua namba yetu huyu, matokeo yalikuwa yakitolewa kimkondo! Bila kujua kuwa kuja kwake kunasaidia ushindani!Mara tutasikia malalamiko kuwa "wachina wanachukua nafasi zetu katika mitihani, waondoke"!
Feza alikuwa anasoma peke yake? Mbona wengine hawajafaulu kama yeye?Acheni upopona yani MTU anasoma feza halafu mnamsifia
haijawahi kutokea shule mbovu ikatoa mwanafunzi bora :Note thatAwajaji ubora was shule aliyokuwa anasoma wanajaji matokeo
Unao uhakika na hicho unachokinena?Nawaza tuu, mchina anapata B ya kiswahili anasikitika lakini sisi PhD holder anashindwa kuzungumza kiingereza fasaha alichokitumia kusomea kwa miaka kadhaa mpaka kuhitimu na tunaona kawaida tuu
Ndio, with evidenceUnao uhakika na hicho unachokinena?
AnachoUnao uhakika na hicho unachokinena?
Teh teh..Poa bro..NtakuwakilishaHahaha mkuu nimemwambia le akili kubwa akupe mualiko wangu
So ukifika cha kwanza namba za CongCong Wang