Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea

Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja

Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi ikiwemo kukimbia juu ya dari, mchanga kumwagwa kwenye bati, n,k. nilikosa ujasiri niliacha kodi.

uchawi upo lakin hii video ni kweli au?

Mshana Jr

hadi sasa nimewaza vitu kadhaa ila bado havina uzito

- Kamera kucheza cheza - cctv huwa haitikisiki lakini katika hii video inatikisika ni kwasababu imerekodiwa kwenye kioo cha computer kwa kutumia simu.

- muda ni saa 11 jioni lakini kuna giza - muda huo wa kwenye cctv unaweza ukawa haujasetiwa kuendana na muda halisi, huenda hakupatikana mtaalam anaejua kuseti muda, licha ya hivyo bado haizuii cctv kurekodi video, huenda muda halisi ni usiku wa manane na hata taa tumezoa kuwasha usiku na sio jioni.


 
Kwakweli mimi nawahitaji sana wachawi na uchawi wao!

Niliwahi kwenda mpaka Pemba kule ndani ndani ili nipate walau hata uchawi wa kiislamu, lakini hakuna nilichopata.

Nikamtafuta mshana jr, badala anipe mwongozo wa kuupata huo uchawi, akawa ananiletea stori za kusema "mara ooh uchawi ni utumwa, mara hivi, mara vile".

Kwa ufupi akawa analeta uswahili.

Mpaka sasa nimeamua kutulia tu kama namba moja.

Nimepoteza matumaini ya kupata uchawi.

Nb, mimi ni mtu wa kigoma.
 
Kwakweli mimi nawahitaji sana wachawi na uchawi wao!

Niliwahi kwenda mpaka Pemba kule ndani ndani ili nipate walau hata uchawi wa kiislamu, lakini hakuna nilichopata...
Njoo musoma ujifunze kwa watu wa.musoma.

Musoma nako wako vizuri kwenye uchawi
Screenshot_20211113-171606.png
 
Njoo musoma ujifunze kwa watu wa.musoma...

musoma nako wako vizuri kwenye uchawiView attachment 2009154
Watu wote husema hivyo!
Watu wote husema, "nenda sehemu fulani kuna wataalamu wa hayo mambo"
Cha ajabu unaweza kwenda sehemu husika, na aliyekwambia uende hiyo sehemu,
asikuonyeshe hao wachawi.
Sana sana ataishia kukuletea janja janja ambazo hazina msingi.
 
Watu wote husema hivyo!
Watu wote husema, "nenda sehemu fulani kuna wataalamu wa hayo mambo"
Cha ajabu unaweza kwenda sehemu husika, na aliyekwambia uende hiyo sehemu,
asikuonyeshe hao wachawi.
Sana sana ataishia kukuletea janja janja ambazo hazina msingi.
Waha mna kelele sana. Nimekwambia nenda kajifunze, fanya research ujue huyo aliefanya hivyo katolea wapi mautundu.

wacha maneno mengi
 
Kwakweli mimi nawahitaji sana wachawi na uchawi wao!

Niliwahi kwenda mpaka Pemba kule ndani ndani ili nipate walau hata uchawi wa kiislamu, lakini hakuna nilichopata.
Nikamtafuta mshana jr, badala anipe mwongozo wa kuupata huo uchawi, akawa ananiletea stori za kusema "mara ooh uchawi ni utumwa, mara hivi, mara vile"
Kwa ufupi akawa analeta uswahili.
Mpaka sasa nimeamua kutulia tu kama namba moja.
Nimepoteza matumaini ya kupata uchawi.
Nb, mimi ni mtu wa kigoma.
😂😂😂
 
Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea

teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja....
Nimeifatilia kwa umakini Sana hii video,lakini sioni uhalisia wake kwa kutumia vigezo vifuatavyo:-

1. Uchawi una kanuni na mashariti mengi sana,moja yawo ya mashariti ya uchawi ni kuwanga huku ukiwa uchi/ nusu uchi hii ikiwa ni Dhana ya kwamba uchawi hufanyika katika ulimwengu ambao unahitaji nguvu ya ziada kuuona au kuwaona wachawi,sasa Kama huyo kwenye video ni mchawi ,alivaa nguo za nini Wakati wachawi hawaonekani kwa macho ya nyama,alikuwa anamwogopa nani?

Hivyo naweza hitimisha kuwa hii video sio sahihi kwa kuzingatia vigezo vya uchawi, unless Uwe uchawi wa Pwani na ughaibuni,lakini in most cases uchawi hufanywa kwa watu( wahusika) kuwa watupu.

2.Nimeshindwa kutambua ikiwa Wakati huyo mtu anafanya huo uchawi kulikuwa na mtu anamrecodi pembeni au Ni uwezo wa CCTV-Camera kuona yaliyo sirini,na Kama Ni uwezo wa CCTV-Camera kwanini Kuna Wakati anapotea huyo mchawi na CCTV-Camera inashindwa kutuonesha namna anavyopotea Wakati zoezi zima linaonesha huyo mchawi anafanya uchawi wake pasina kuonekana ila CCTV imeweza kumnasa,Basi ilipaswa hiyo CCTV ituoneshe na namna anavyopotea!!

Haya ni maigizo !!!
 
Nimeifatilia kwa umakini Sana hii video,lakini sioni uhalisia wake kwa kutumia vigezo vifuatavyo:-

1. Uchawi una kanuni na mashariti mengi sana,moja yawo ya mashariti ya uchawi ni kuwanga huku ukiwa uchi/ nusu uchi hii ikiwa ni Dhana ya kwamba uchawi hufanyika katika ulimwengu ambao unahitaji nguvu ya ziada kuuona au kuwaona wachawi...
Unataka ikuonyesheje.. si imeonyesha hapo anayeyuka
 
Uchawi una kanuni na mashariti mengi sana,moja yawo ya mashariti ya uchawi ni kuwanga huku ukiwa uchi/ nusu uchi
mkuu, hivyo vitu huwa tunasimuliana tu, hakuna alieproove kwamba wachawi wote wapo hivi,
Nimeshindwa kutambua ikiwa Wakati huyo mtu anafanya huo uchawi kulikuwa na mtu anamrecodi pembeni au Ni uwezo wa CCTV-Camera kuona yaliyo sirini,na Kama Ni uwezo wa CCTV-Camera kwanini Kuna Wakati anapotea huyo mchawi na CCTV-Camera inashindwa kutuonesha namna anavyopotea Wakati zoezi zima linaonesha huyo mchawi anafanya uchawi wake pasina kuonekana ila CCTV imeweza kumnasa,Basi ilipaswa hiyo CCTV ituoneshe na namna anavyopotea!!
natafakari pia lakini naona wazi wazi huyo mchawi anayeyuka na kupotea
 
mkuu, hivyo vitu huwa tunasimuliana tu, hakuna alieproove kwamba wachawi wote wapo hivi,

natafakari pia lakini naona wazi wazi huyo mchawi anayeyuka na kupotea
Believe me, wewe hapo ulipo tuchukulie nikupe ndawa ya kuwaona wangaa,huwezi waonona wakiyeyuka tena maana hapo inakuwa ni live,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom