Macho yake.source pliiiiiiize...
huyo aliyepost hii thread ni source tosha tunamwamini ni mtu wa karibu na lema ni diwani wa kata ya levolosi RCHUGA KUPITIA cdm Source anaweza kuwa yeye mwenyewe dah! na huu utamaduni wa source please mh sometime unaboa ka huamini leave it!
bora abondwe..ana maringo sana huyu bwana, badala ya kuwatumikia wananchi ye analeta usharobaro,..nakumbuka huyu ndiye aliwatukana wenzake kwenye mkutano jukwaani..hadi wakamfungulia kesi aombe radhi!! Nadhani akili imemkaa sawa sasa.,watu washachoka,sasa hivi kichobaki ni kipigo tu...kuna mtu alisemaga ''mawe ni mepesi mkononi lakini mazito usoni''
wamchague wenyewe kwa kishindo alafu wanampiga tena??!