Acha uongo!Service inatakiwa kufanywa na authorised or certified person na siyo any Tom ,Dick and Harry fundi. Haya ndiyo madhara yake.
Premium,mbona ni ndogo hvyo?
Mbona wanataka wamuumize mapema hata kabla ya 2025
Mkuu, Hiyo sio bima kubwa " Comprehensive ", ni bima ndogo "Third party" ambayo ni kiasi cha chini kabisa kilipia (TZS 118,000).Premium,mbona ni ndogo hvyo?
isije kuwa wanapeleka gereji chini ya mwembe.Hizi Discovery sijui zina shida gani na kuungua
Labda they were designed for cold countriesHizi Discovery sijui zina shida gani na kuungua
🤣ungekuwepo ungeshikilia milango isifungukeHuyu ndio wale wanufaika wa utawala dhalimu wa jiwe na ndugai,
Mwambe alipaswa abaki humohumo ndani ya gari
Tuogope sana technologyGari la million zaidi ya 60 anatembelea bima zetu zile......akalipaki uwani tu sasa maana britam wameshaweka hadharani mzigo hata magumashi haupigiView attachment 2166235
Shida kubwa ya land rover ni leakage, yani toka naendesha 109 , shida hii hawajaweza kudhibiti , kuna uwezekano kulikuwa na fuel leakage mixer overheating, sinema ndo moto huoHizi Discovery sijui zina shida gani na kuungua
Vipi ushirikina uingie wapi kati ya hizo tatu.Hapo lazima kuna vitu 3 vime sababisha
Moto huo, yawezekana
Gari Ilikuwa inavuja Mafuta
Inawezekana gari Ilikuwa na tatizo la umeme
Inawezekana gari Ilikuwa inapata moto
Na mfumo wa kupooza haukuwa sawa
Ova
Third party hiyo. Ndio kwaheriPremium,mbona ni ndogo hvyo?
Hta mm naogopa kweli technology maana gari lote limeungua lakn watu wameiona plate number na wakaknonnect na tira wakapta majibu.😁😁😁Tuogope sana technology
Zamani ajali kama hizi watu walikuwa wanawahi chap kufanya mazabe ili walipwe ,
Siku hiI app tu ya android inaweka mambo yote hadharani, yani mtu akiwa na namba ya gari tu anajua status na aina ya bima .
Kama ni 60m comprehensive ni 2,478,000 kwa mwaka...Gari la million zaidi ya 60 anatembelea bima zetu zile......akalipaki uwani tu sasa maana britam wameshaweka hadharani mzigo hata magumashi haupigiView attachment 2166235
Shetani angemchukua akajiunge na meko
Daaaaaah,nilivyoona imeandikwa premium nikajua ni mulemule,asantw kwa kunitoa tongotongo mkuuMkuu, Hiyo sio bima kubwa " Comprehensive ", ni bima ndogo "Third party" ambayo ni kiasi cha chini kabisa kilipia (TZS 118,000). Kwahiyo hapo hasara ni kwa Mh. Mbunge