Mbunge wa Masasi Mjini Geofrey Mwambe anusurika kifo akiwa na familia yake. Gari alilokuwa akisafiria lateketea kwa moto

Gari la million zaidi ya 60 anatembelea bima zetu zile......akalipaki uwani tu sasa maana britam wameshaweka hadharani mzigo hata magumashi haupigiView attachment 2166235
Tuogope sana technology

Zamani ajali kama hizi watu walikuwa wanawahi chap kufanya mazabe ili walipwe ,

Siku hiI app tu ya android inaweka mambo yote hadharani, yani mtu akiwa na namba ya gari tu anajua status na aina ya bima .
 
Hizi Discovery sijui zina shida gani na kuungua
Shida kubwa ya land rover ni leakage, yani toka naendesha 109 , shida hii hawajaweza kudhibiti , kuna uwezekano kulikuwa na fuel leakage mixer overheating, sinema ndo moto huo

Them land rovers are extremely unreliable , ndo maana hata serikali ilishindwa kuendesha defenders za polisi wakaamua kutumia land cruisers
 
Hapo lazima kuna vitu 3 vime sababisha
Moto huo, yawezekana
Gari Ilikuwa inavuja Mafuta
Inawezekana gari Ilikuwa na tatizo la umeme
Inawezekana gari Ilikuwa inapata moto
Na mfumo wa kupooza haukuwa sawa

Ova
Vipi ushirikina uingie wapi kati ya hizo tatu.
 

IMG_6326.png

Tatizo linaanzia hap Kwenye ThirdPart insuarence
 
Tuogope sana technology
Zamani ajali kama hizi watu walikuwa wanawahi chap kufanya mazabe ili walipwe ,
Siku hiI app tu ya android inaweka mambo yote hadharani, yani mtu akiwa na namba ya gari tu anajua status na aina ya bima .
Hta mm naogopa kweli technology maana gari lote limeungua lakn watu wameiona plate number na wakaknonnect na tira wakapta majibu.😁😁😁
 
Mkuu, Hiyo sio bima kubwa " Comprehensive ", ni bima ndogo "Third party" ambayo ni kiasi cha chini kabisa kilipia (TZS 118,000). Kwahiyo hapo hasara ni kwa Mh. Mbunge
Daaaaaah,nilivyoona imeandikwa premium nikajua ni mulemule,asantw kwa kunitoa tongotongo mkuu
 
Back
Top Bottom