Kazi sanaPauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
awezi kuachiwa nchi yetu haipo hivyo linapo kuja swala la kunyoana wenyewe kwa wenyewe...huyo atanyolewa na chupa 😭😭😭😭With a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Mankumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea?
Usanii wa PoliccmPauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Acha bangi.Mbona Makonda hakamatwi kwa uuaji na ujambazi?
Ahsante kwa kusema ukweliWatu waovu wenye mamlaka wakivuliwa mamlaka huwa waoga sana. Anakimbia nini na wananchi anawaachia nani awawakilishe? Wanasheria wameisha nchi hii? Hapa ndio wanawake sasa tunaonekana tunaweza kuhimili mikiki au lah. We can never be men aiseee
Dunia hii ni ya ajabu sana sisi tunapigania chakula kwa familia zetu kuna wengine wana kila kitu ila kiburi tu kinawaponza angejua wenzake tunavyotamani alivyokuwa navyo angetulia na kumshukuru mungu, kaibiwa vitu vya thamani ndogo tu nina uhakika angeweza kumuachia mungu akatoa sadaka au aache sheria ichukue mkondo wake matokeo yake unapoteza kila kitu kisa kiburiPauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Zamu yake ya kuwekewa chupa imefika , Malipo ni hapahapaPauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.