Sniper
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 2,008
- 950
Inanikumbusha ya profesa aliyepigwa picha na mapaparazi wa magazeti ya udaku!
Profesa yupi huyo mkuu?
Inanikumbusha ya profesa aliyepigwa picha na mapaparazi wa magazeti ya udaku!
<br />hivi enzi za julias Nyerere kuna mbunge au kiongozi yeyeto wa serikali alikuwa anafanya mambo kama haya
mkuu promo ya kurushwa na bendi ni bei rahisi sana kuliko katika media zingine!kama mtu wa mademu utamwaga laki 5 katika show moja utaokoa laki nmne za kuhonga!!!!!kama muuza magari wajinga kibao watasikia raha kuuziwa magari na wewe kisa alishasikia unapaishwa!.......huu ushamba wa kumwaga pesa naupenda sana!mwaga million upate million tano!........
<br />Hapa mnampiga vijembe kwa kuwa ni Mbunge? Je, angekuwa ni Papaa Musofe anafanya haya mambo naye angekuwa criticised?
Makalla anagawa mabaki ya pesa alizokwiba kule ccm alipokuwa treasurer kabla ya kuvuliwa gamba!!
Jamani muwacheni huyo kijana wa watu bado ni limbukeni hajazoea kukamata fedha nyingi namna hiyo. Hajui hata azifanyie nini ndiyo maana anaishia kuzimwaga kwenye mabendi. Na mabintis watamsifia sana wakishamjua kwamba kazi yake ndiyo hiyo ya kugawa fedha bila ya kulipa kodi.