Mbunge awamwagia fedha Twanga Pepeta

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,666
1,384
Na Shakoor Jongo

MBUNGE wa Jimbo la Mvomero mkoani Marogoro kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ‘CCM', Mhe. Amos Gabriel Makala (pichani) juzikati alifanya kufuru baada ya kugawa fedha kama njugu kwa kila mwanamuziki aliyekuwa anapanda jukwaani na kutaja jina lake.

Tukio hilo lilichukua nafasi juzikati ndani ya Maisha Club wakati Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta' ilipokuwa inatoa burudani ya ukweli.

Alipoulizwa na paparazi wetu sababu za kufanya hivyo Makala alisema: "Najisikia furaha kila jina langu linapotajwa, ndiyo maana nampa zawadi kila anayetoa kibwagizo cha kunisifia".

Bendi hiyo imekuwa ikitoa burudani ndani ya Maisha Club kila Alhamisi baada ya kuingia mkataba na uongozi wa ukumbi huo.jamani hawa ndio wabunge wetu! wanachi wake huko mvomero sidhani kama watakubaliana na mambo anayoyafanya DAR mbunge wao.......

source

Wambandwa

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
2,251
815
Inanikumbusha ya profesa aliyepigwa picha na mapaparazi wa magazeti ya udaku!

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,878
3,725
Huyu Mbunge wa Mvomelo si ndio aliyekuwa muweka hazina wa chama cha magamba enzi za Makamba kabla hawajaondolewa. Hizo fedha Makalla anazofanyanazo kufulu ni mabaki ya zile alizoiba kule ccm.jamani hawa ndio wabunge wetu! wanachi wake huko mvomero sidhani kama watakubaliana na mambo anayoyafanya DAR mbunge wao.......

source

Makalla anagawa mabaki ya pesa alizokwiba kule ccm alipokuwa treasurer kabla ya kuvuliwa gamba!!

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,032
Mamba Mwenye ndio huyu?Amos Gabriel Makala
AmosMakalla.jpg

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,230
Inanikumbusha ya profesa aliyepigwa picha na mapaparazi wa magazeti ya udaku!

MMMM KABEND KAKE SIKASKII KWA SANA SKU HIZI SIJUI IKOJE HII!!! AF MIJITU MINGINE INA SIFA ZA KIJINGA,HUKO MVOMERO WATU WANATAABIKA SANA SI ANGEANZISHA HATA SACOS WATU WAKOPOE WAENDESHE LIFE,ANATEKETEZA FEDHA WKT WATU WAKE WANALALA NJAA

MANAMBA

Senior Member
Jan 16, 2011
169
16
Wanaomsifu kwani kafanya nini cha maana kwa jamii katika maisha yake? hizo pesa kapata wapi?

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,230
Likiongozi lizima linaenda kusaka sifa za kuimbwa kwenye bendi ili iweje! Akitaka sifa za maana akafanye mambo ya maana jimboni mwake kama hajatukuzwa! Sa yeye anaimbwa huko twanga sijui anapata faida ipi nyambaf zake ningekuwa mwanakijiji wake tupa hukoo sipotez kura yangu tena!

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,983
1,320
kupaishwa na bendi ikipiga live burudani sana!simshangai mtu mzima kuzimwaga!hizi sifa nazipenda sana hususani shazi la mashangingi na mabinti likiwemo!!!!!!

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,414
196
akili yake imejaa m*vi huyo utafikili kule jimboni kwake watu wana huduma hata ya maji

Kiraka

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
3,765
2,959
kupaishwa na bendi ikipiga live burudani sana!simshangai mtu mzima kuzimwaga!hizi sifa nazipenda sana hususani shazi la mashangingi na mabinti likiwemo!!!!!!

Wewe sishangai si Muuza Sura, lakini huu ni ushamba tu ndio unawasumbua... wewe na huyo mdwanzi mwenzio wa Mvomero, anagawa hela hivyo usikute nyumbani familia imechoka!!!

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,230
Wewe sishangai si Muuza Sura, lakini huu ni ushamba tu ndio unawasumbua... wewe na huyo mdwanzi mwenzio wa Mvomero, anagawa hela hivyo usikute nyumbani familia imechoka!!!

UMEONA EEE ETI SIJUI SHAZI AGHHHHHRRRRRR,AENDELEE KUKATA NYONGA TUU A NA KUTAJWA JINA NA KINA NYOSHI,AACHIE WATU WENGINE UBUNGE WAFANYE KAZI KUWASAIDIA WANANJI! KAMSAIDIE NA WEWE SI JU I MUUZA NINI VILEE! CRAAAAAAAAP

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,466
yela yale nlishasema wabunge wote walioiba kura wataaibika kwa matendo yao,ndio huyo kwani akagawe hela kwake walimpa kura au aliiba? hana uchungu na wananchi wake ambao hawakumpa kura, huo ni mwanzo tu yatafuata matukio mengi ya kustaajabisha,. shetani mbaya sana atakufanya utende jambo afu baadae atakuumbua taratibu huku akichekelela. wezzi wa kuraaa 2010 hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,230
Acheni wivu jamani maisha yenyewe mafupi

WIV NDO NINI WEWE ACHA UVIVU WA KUFKIRI NA USIWE NA AKILI TEKETEKE KAMA YAI AMBALO HALIJAIVA SAWASAWA! KAZI YA HUYO MARANGI SI KUKATA NYONGA KWENYE MAJUKWAA YA NDOMBOLO SA ALIGOMBEA UBUNGE WA MVOMERO WA KAZI GANI SI ANGPIGANIA UPREZIDAA KWENYE HIZO NDOMBOLO ILI ANYONGEKE VYEMA? THE THING IS CCM MPS ARE NOT SERIOUS,WANAOMBA KULA NA SI KURA!!!

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,983
1,320
Wewe sishangai si Muuza Sura, lakini huu ni ushamba tu ndio unawasumbua... wewe na huyo mdwanzi mwenzio wa Mvomero, anagawa hela hivyo usikute nyumbani familia imechoka!!!

mkuu promo ya kurushwa na bendi ni bei rahisi sana kuliko katika media zingine!kama mtu wa mademu utamwaga laki 5 katika show moja utaokoa laki nmne za kuhonga!!!!!kama muuza magari wajinga kibao watasikia raha kuuziwa magari na wewe kisa alishasikia unapaishwa!.......huu ushamba wa kumwaga pesa naupenda sana!mwaga million upate million tano!........

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom