Mziki wa dance nani wa kuufufua ikiwa wasanii wameishia tungo?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Katika tasinia ya Muziki wa dance, kote nchini ulitamba kiasi kwamba walitoka kiingilia cha bia 2 hadi kiingilio fedha tshs elfu 10, kama wapo ambao mlishuhudia tukipishana Readers club kuaona Twanga Pepeta na Wazee wa Mgwasuma, tulipokuwa tukimaliza hapo tunaenda kuangalia wazee wa mapikipiki pale kawe jeshini Akudo , sasa hivi bendi hizi zimekufa kiaiana, zipo tu jina. Kuna vijana mahiri na wana sauti nzuri kama Ally Choki, Kalal Junior na yule kijana nimemsahau mara ya mwisho alikuwa akimramba Wema Sepenga.

Tuje kwenye point, ikiwa vijana hawa wakali waliishiwa tungo mpya na zinazochezeka nan wa kuwasaidia kufufua mziki wa dance, Mbona Diamond na Dogo Aslay wana tungo mpya kila mwezi? hawa vijana wamelogwa na nani?, Akyanani tena, hata Ngwasuma wazee wa pamba kali wanapiga kwa bia Tano pale club ya Delcanto, nao pia wameishiwa tungo, bado wananyimbo zile zile za samaki vipande vingapi jamani.

Sio kwamba nawabeza, nashangaa, timu ina wanamziki zaidi ya ishirini wanashindwa kutunga hata nyimbo mbili kwa miezi sita, huwa namkubal yule mkongo akishindwa kutunga anamodify zile zile anaongeza kidogo anendelea kuwa ewani.
 
Mfumo wa bendi moja kuwa na watu wengi unawakosti sana,sjui huwa wanawalipaje,bendi moja watu ushirini kama kwaya.
 
Kwenye maandishi mekundu una maana ya Leaders Club au kuna Readers Club! Naomba sana iwe kuna ''Readers Club'' kama ulivyoandika kwani kama ni ukilaza wa kushindwa kuona tofauti kati ya ''Leaders'' na ''Readers'' ni aibu kubwa iliyopitiliza.
 
Back
Top Bottom