Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
KWA KWELI NIMEAMINI HATA HAPA JF KUNA VIBARAKA WA MAFISADI,ukweli unabaki wazi, mchango wa chadema katika kupambana na ufsadi na kuanisha kuwepo kwa taifa letu hakuna utata, mbowe kibiashara inatuhusu nini? hata kama ameshindwa biashara aktusaidia katika siasa hiyo ndo muhimu! akina galileo mnawakumbuka? hawakuweza kila kitu, KILA MTU NI MBUMBU KATIKA FANI YA MWINGINE NA MAHIRI KATIKA FANI YAKE
 
Mbowe is not a saint, he can have his fishy deals hanging arround just like other politicians in Tanzania, but relatively he is better than bwana vijisent, Karamagi, Lowassa, Mkapa, Mramba. Mgonja, Balali..........!
 
hivyo unaamini kuwa Freeman Mbowe anaweza kuja kuwa rais wa Tanzania?

kama ni kweli je sababu zipi zimekupelekea kuamini kuwa ana tick..mimi naamini Mbowe akisimama urasi dhidi ya Makamba basi Makamba atashinda

Mnyonge mnyongeni haki yake, Katika maisha yangu ya Kufuatilia siasa za kibongo nadhani Freeman Mbowe amekuwa ni Kiongozi wa Kwanza (kwa maoni yangu) kufumbua fikra za watanzania wengi nini cha kufanya na Hakika Fikra nyingi zilifunguka kipindi mpiganaji huyu alipogombea URAIS.
Ni Watanzania wangapi walikuwa na uwezo wa kutumia BENDERA TAIFA KWA MATUMIZI YA KAWAIDA? Ni Mbowe ndiye aliyekomaanayo hadi sasa ukienda Uwanja wa Taifa kwenye mpira Kila Mtu ana bendera ya Taifa, watu wanavaa BENDERA za Taifa. Aweza kuwa na Mapungufu yake (as any human being) but huyu ni mtu wa kukumbukwa sana katika SIASA za kibongo.
 
People....si kuna msemo kuwa huwezi kutumikia mashefa wawili kwa wakati mmoja...lazima mahali fulani utachemka tu sasa Freeman, politics, business and now you are at school( ni nzuri lakini mh!!)....Kweli we mjasiliamali but i think you need to put more of your energy and effort in one thing so that you make it more better otherwise utawapoteza watu...Hivi vile vijisenti alivyokopa NSSF alilipa kweli???

Humu ndimo watu huchukulia point mtu wangu....mi siamini kama ni fitna kuwa usingiziwe ulikopa 10 mkopeshaji aseme ulikopa 20??? Mh! haipo kabisa
 
Hahahaha

Hii ya Mbowe nilipenda zaidi

watu tunaweza kureverse kwa kuanzia kuleee kwenye issue ya WAPUKI, mpaka kwenye tuhuma za kuuziwa magari ya wizi na akina Saleh Ziebi ( Range Rover Vogue new model) ili hali akijua kuwa ni la wizi huku London then atuambie kama kweli alideclare kiasi gani CHADEMA walipewa na Conservative (UK), kisha atuambie kwa nini anaona tabu kumsomesha JJ MNYIKA halafu tusisahau ule mkopo wa NSSF

this should be an interesting one...

HAPA PATAMU GT ENDELEA KUTEMA KWANI NANUSA HALRUFU YA UFIASADI IN FUTURE THIS FORMER DISC JOCKER CAN BE DANGER IN FUTURE
 
according to think piece iliyokuwa dropped leo mchana mwandishi alisema hivi:

SOURCE hii hapa:
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=13378

freeman_bowe_in_lndon.jpg

Discuss...

Hii inanithibitishia hadithi niliyoisikia kutoka kwa daktari mmoja, kuwa katika miaka ya mwisho ya themanini na mwanzo ya tisini, wakati huo alikuwa mwanafunzi wa udaktari, Freeman alikuwa akivinjari Landan na demu wake kwenye ma hoteli ya nyota tano ambapo wao walikuwa bize masomoni. Na Freeman alikuwa bize kutumbuwa. Looh ufisadi umeanza zamani.
 
huyu dakitari wako inabidi afutiwe leseni yake na kisha apelekwe mirembe kwenye hospitali ya vichaa kuchunguzwa
 
Mbowe is not a saint, he can have his fishy deals hanging arround just like other politicians in Tanzania, but relatively he is better than bwana vijisent, Karamagi, Lowassa, Mkapa, Mramba. Mgonja, Balali..........!

mbowe hajawa veted huwezi kuwa na uhakika na unachosema.
 
JJ kasoma university of dsm evening program BBA na alipenda mwenyewe kwani wakati huo alikuwa hajawa mwanasiasa deep kama sasa. mbowe nae bado yuko fit, kaone nyumba yake mpya ya mikocheni utajua na club bilicanas inakarabatiwa bado protea ya moshi iko chini yake. bado yuko fit hajachoka
 
kuna habari kuwa mbunge wa moshi vijijini, msomi mwenzetu na naibu waziri wa biashara ameanza kulitetea jimbo lake dhidi ya chadema waliomkosa kosa 2005, na sasa ameanza vibweka vya aina yake katika kampeni

1.0, Anapita kila kata ya jimbo lake akichinja ngombe na kugawa mbege ,huku akihimiza kuchaguliwa tena 2010,

2.0, anapita makanisani, hasa makanisa ya kikatoliki akiwapa maksisi pesa za kuwaombea wanacni maendeleo, misa hizi hutangazwa makanisani kuwa zimeombwa na bwana chami

3.0, ameweka katibu wake nasikia anitwa cyril mushi, ambaye ndiye ccordinator wa uchafu huu wa kununua wanachi kwa nyama na mbege

4.o, ahadi za rais alizotoa za kujenga barabara nakadhlika ndo bado hata mita moja haijajengwa, wakati mwenzetu yuko busy akigawa mbege na pombe

5.0 shule hazijamalizika kujengwa, tulitegemea angehimiza hili, lakini inavyoonekana anakazania upande mmoja tu yaani kibosho alikozaliwa, na huko kwingine kama uru na old moshi akimwachia katibu wake akiendelea kugawa mbege na nyama
 
MBOWE NI KAMA MREMA WOTE NI MADIKTETA
Mtikisiko unaokikumba chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), ni kielelezo cha kwanza kufumuka hadharani kuhusiana na udikteta alionao mwenyekiti wake Freeman Mbowe

Hatua ya kusimamishwa uongozi kwa makamu mwenyekiti wa chama hicho, Chacha Wangwe ni jambo lililokuwa likitazamiwa tangu siku nyingi kutokana na tabia ya mbowe kutotofautiana na ile ya mwenyekiti wa taifa wa TLP, Augustine Mrema ambapo wote ni madikteta.

Kama alivyo mrema, Mbwe naye anataka kuiongoza Chadema kwa misingi ileile ya kidikteta ya kutotaka changamoto inayokinzana na mawazo yake hata kama anayetoa mwelekeo tofauti atakuwa anafanya hivyo kwa ajili ya maslahi ya chama.

Kelele za chini kwa chini zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya wanachama na viongozi wa Chadema kuhusu ruzuku inavyotafunwa kwa fujo na “vigogo” wa chama hicho makao makuu wakiongozwa na Mbowe, hazikuwa za siri kama anavyofikiri.

Kilichokuwa kinapungua ni nani angesimama hadharani na kuusema uoza huo wa siku nyingi.

Mbowe na kikundi chake chenye watu kama Dk. Wilbroad Slaa, Zitto Kabwe, John Mnyika, Anthony Komu na marafiki wengine wachache ndio waliokuwa wakitumia kisingizio cha kulipana madeni, kulipia gharama za helikopta na kadhlika, kujitwalia mamilioni ya ruzuku huku ngazi za chini kuanzia mikoa, wilayani, kata na matawini kukiwa hakupelekwi hata senti tano.

Tunamshukuru Chacha Wangwe kwa kutokuwa mnafiki, kiongozi ambaye msimamo wake wa kutaka fedha za ruzuku zipelekwe wilayani unaungwa mkono na kila mwenye mapenzi mema na chama chake.

Uongo wa mbowe na kamati kuu iliyohongwa unaodai eti Wngwe anatoa siri za chama anaandaa, kufadhili na kushiriki vikao vya kukihujumu chama hicho hauwezi kuaminika popote isipokuwa pale ambapo pamejaa fitina, viyisho na uzandiki.

Wanachama wa Chadema wanafahamu wanavyohangaika kutafuta fedha za kulipia ofisi matawi ni, kata, wilayani na mikoani huku milioni 66 za ruzuku inayotolewa na serikali kila mwezi zikiishia mifukoni mwa Mbowe na viongozi wenzake wa makao makuu wasiokuwa na nia njema kwa chama.

Wangwe aliyeanza kupigwa vita tokea mapema wakati akigombea umakamu mwenyekiti mapema mwaka huu ndiye shujaa wa chama kutokana na msimamo wake wa kutetea haki na demokrasia.

Waliokuwa hawaujui udikteta wa Mbowe na unafiki wa viongozi kama Slaa, Zitto na Mnyika waanze sasa kutambua ukweli.

Lazima wanachama na viongozi wa Chadema waliopo ngazi za mikoa, wilaya, kata na matawi washikamane kwa nguvu zao zote ili kuhakikisha kuwa “wanakufa” na Wangwe.

Huyo ndiye shujaa na mkombozi wa kweli wa jasho lao walilotoa mwaka 2005 na kukiwezesha chama hicho kupata ruzuku ya shilingi milioni 66 kila mwezi hivi sasa.
Aluta continua
 
mmezidi chuki mweee, hakuna kujenga kila siku kubomoa tu!!! je tutafika kweli kwa dizaini hii!!
 
Ukiangalia TREND YOTE ya jinsi pesa za ufisadi zilivyogawanya...Utangundua kuwa ulikuwa ni mpango maalum kwani pesa zilikuwa nyingi kupindukia!

Waliojimilikisha migodi...Wakaanzisha na EPA na msururu wake ndio kama virusi!

Halafu kila mahali wakaweka wachagga na kuwaingiza humo kwenye ufisadi wao!Wengi tu!Tena pesa zenyewe zilianzia huko kwa wasilamu...Kina Iddi Simba na wamiliki wa BORA APTS,NDOVU SOAP NK!

Pesa hizo wakazi channel kwa watu ambao kisa ni wachaga tu maana hata walikuwa si watu wa ma connection kihivyo!Walizitapakaza kila mahali hadi marekani na kwingineko ulaya!

Sasa mpango wao unakuwa wazi...UDINI NA UKABILA!

Wale waliokuwa wakijuwa kuwa ccm itadaiwa kuwa ni mafisadi na huku ccm yenyewe ikiwa wazi kuwa ni chama cha waislam...Wakazipenyeza pesa za EPA kwa style ya kuchafuana na sasa ni PROPAGANDA TIME!

Tatizo bado narudia...Ni jf!

Trend ya pesa za ufisadi pamoja na kinachohubiriwa na ccm hapa unajuwa kuwa wizi wote ilikuwa ni wa kisiasa uliopangwa kimafia ili hata wale wapinzani wanaoelekea kushinda kwa hoja basi wachafuliwe!

Mfano mwingine ni hata jinsi wamekuwa wakijaribu kumchafua hata MWAKYEMBE!

Pesa walizochukuwa ni nyingi sana!Haziwezi kwisha...Na ni wazi serikali yetu inazitumia tena ili kuwaghilibu wananchi!Sidhani kama ni possible this time.

Ripoti ya EPA iko hapa...Tumeshazisoma na tunajuwa everything na ni nani wanahusika!

Wananchi naomba muelewe hili...Kwamba RIPOTI ZOTE ZIKISHAKUSOMWA...HAPO TUTAKUTA MAFISADI WENGI TU KUANZIA WAKRISTO,WAISLAM,WAHINDI,WACHAGGA,WASUKUMA,
WAMASAI NK!

Wote hao ni MAFISADI NA KAMWE WASILICHAFUE KABILA LOLOTE WALA DINI YOYOTE!

Watanzania DAINI UHURU WENU NA MTAONA MATUNDA YAKE!

TANZANIA NI NCHI TAJIRI INAYOMILIKIWA NA MAFISADI WACHACHE WA DINI TOFAUTI NA MAKABILA TOFAUTI WAKISHIRIKIANA NA MKOLONI WALIYENWUZIA NCHI!

Tunawaomba watanzania muwashurutishe wabunge wenu wadai ripoti za EPA NA MADINI NA ISSUES NYINGINE ZOTE HADI TUERUDISHIWE NCHI YETU!
 
Safi sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom