GT,
Hapana mkuu swala la Kuamini ni swala ambalo linajenga uchovu wa akili kwa sababu binafsi sikuamini kabisa kuwa Kikwete angeweza kuja kuwa rais pamoja na kwamba niliwahi sikia watu wakisema alimshinda Mkapa...
Machache niliyokuwa nikiyafahamu kuhusu yeye yalinijenga imani kubwa kwamba hawezi kuwa rais nikitazama watu waliojipanga mbele yake.. lakini I was wrong... hivyo imani ya kudhania haiwezi kuwa ndio UKWELI.