Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

Status
Not open for further replies.
Heshima kwako GT,MBOWE anapata watetezi wengi kwa sababu ni mtu makini,mwenye uchungu na raia wa nchi hii na chama chake Chadema kinafanya kazi ipasavyo chini ya uongozi wake.Kikwete amewakumbatia viongozi mafisadi na viongozi wala rushwa ndio maana ukimbebea bango WATU TUNASHNGILIA.Mwisho acha kushupalia mambo ambayo huna uhakika nayo.
 
sijakimbia na wala sina mipango ya kukimbia

nimewauliza swali mmeshindwa hunijibu

nauliza tena:

Kwa nini nikimbebea bango JK,MEMBE na MKULO huwa mnashangilia sanaaa lakini nikimgusa MBOWE kidogo tu bas, mnakuwa wakali kama nyuki?


Kuhusu Mbowe na gari ni kweli na mwenyewe alipoulizwa na redio station ya East Africa hapa Uk alisema kuwa yeye alinunua gari lakini hakujua kama liliibiwa

kuhusu Credit Card nashangaa hii sijui imetoka wapi lakini hivi mimi nikiwa mtu wa Credit Card Hassan Ikangaa , SIPO watakuwa akina nani?

acheni hizo jama

issue hapa ni kujadili hoja zilizotolewa kwenye hiyo think piece lakini ukweli ni kuwa wengi ya hawa mnaomtetea Mbowe hamtaki kuwa wakweli kwenye mambo mengi na mko tayari kumfuata Mbowe bila kuuliza maswali ya msingi..lakini naona dapa itabidi ni muactivate MSWAHILI adeal na nyinyi

Binafsi sisapoti CCM wala CUF wala CHADEMA lakini nyie mmekuwa kama makada vipofu

Kwanza wewe kubali kwamba ulighushi Credit Card afu ndio tuangalie ya Mbowe. Hapa ni credibility yako wewe kwanza. Hakuna anayemfata Mbowe hapa ni credibility ya hoja yako. Umeshindwa kuweka ushahidi wa kufeli kwa Mbowe sembuse pumba unazofoka? Au tugoje source yako ya mswahili? Afu rejea maandishi yako ya tarehe 18th December 2007 06:12 PM.
 
tatizo la wanaCCM, wanafikiri kila mtanzania ni mwanasiasa! na ikitokea akakosoa serikali au chama (CCM), basi kwao ni mpinzani!! sijui lini mtaelimika!

kwi kwi kwi!, I think it is the other way around. Issue hapa ni "Freeman Mbowe – failed in school, failed in business, failed in politics" sasa toa hoja..
 
Kwanza wewe kubali kwamba ulighushi Credit Card afu ndio tuangalie ya Mbowe. Hapa ni credibility yako wewe kwanza. Hakuna anayemfata Mbowe hapa ni credibility ya hoja yako. Umeshindwa kuweka ushahidi wa kufeli kwa Mbowe sembuse pumba unazofoka? Au tugoje source yako ya mswahili? Afu rejea maandishi yako ya tarehe 18th December 2007 06:12 PM.

Again, mjadala hapa ni "Freeman Mbowe – failed in school, failed in business, failed in politics" You can start another thread kulalamikia mambo ya credit card. Naona hiii imeamishwa kutoka jukwaa la Siasa mmhh!
 
Heshima kwako GT,MBOWE anapata watetezi wengi kwa sababu ni mtu makini,mwenye uchungu na raia wa nchi hii na chama chake Chadema kinafanya kazi ipasavyo chini ya uongozi wake.Kikwete amewakumbatia viongozi mafisadi na viongozi wala rushwa ndio maana ukimbebea bango WATU TUNASHNGILIA.Mwisho acha kushupalia mambo ambayo huna uhakika nayo.

Inawezekana kwamba ushabiki wa vyama umezidi JF. Sasa kupata majadiliano yatakayo mnufaisha mtanzania bila ushabiki wa vyama ipo kazi. JAMII FORUM, sio chadema au CCM forum. Ukishabase upande mmoja, hoja zako nazo zinabaki hapo, ndio yale yale ya kunywa maji ya bendera..
 
Nilipoamka nikawasha kilongalonga changu na kulog JF ili nipate data nilizoomba kutoka kwa GT. Nilipoona thread imehamishwa nikaanza kuhisi kitu fulani. Nilipoingia na kuona jinsi discussion ilivyobadilika, nikaishiwa nguvu kabisa. Mkuu GT umenidisapoint kwa sababu umeshindwa kufanya kile ambacho ulipaswa kukifanya ambacho unajua kuwa ni kama desturi hapa JF. Ulitakiwa kumwaga data. Kama hukuwa na uhakika na ulichoandika, ungesema tu tangu mwanzoni kwa sababu kutuhumu mtu si suala la mzaha na ndio maana wengine tunashindwa kujiingiza kwenye mjadala wenu wa credit cards n.k.

Alipokuja Kada GT ulidhani atakusaidia lakini na yeye inaonekana anatafuta habari za magazetini wakati original source yako haikutoka gazetini. Kila mara mmekuwa mkiponda habari za magazetini, ninasubiri kuona hiyo itakayoletwa ikoje.

Lakini nadhani umeisoma ile dosier nzima iliyokuwa na habari kuhusu watu wengi sana.
Kuna mambo ambayo nataka uyafikirie halafu ujijibu mwenyewe. Kwanza, kama ni mjuzi wa mambo utabaini kuwa lugha iliyotumika katika dosier ile inafanana sana na lugha inayotumiwa na mmoja wa viongozi wastaafu ambaye yupo kwenye hot soup hivi sasa. Pili, wengi wa waliopewa negative criticism katika document ile, ni wale ambao wanamshambulia huyo kiongozi mstaafu. Tatu, kwa wale ambao tuliipata document hiyo kwa email, ilioriginate kutoka kwa kiongozi mmoja wa CUF. kama coicidenct, hakuna kiongozi yeypte wa CUF aliyetajwa katika dosier hiyo.

Can you connect the dots na kujua what was meant by the dosier?
 
Hizi ndio vetting zenyewe ambazo tunalalamika kuwa serikali haifanyi, Mbowe anaweza kuwa Rais wetu wa 5, sasa mnataka na sisi tuanze vetting akishakaa miaka 2-5 ofisini? Tuweke emotions pembeni, wanaozijua biashara za Mbowe wazilist hapa, elimu yake mimi sijui amefikia level ipi na kwa sasa yuko kwenye level ipi.

Kuna mtu humu alikuwa na signature inasema "kama unataka kujua uwezo wa kiongozi angalia kazi aliyoifanya/anayoifanya miaka kadhaa baadaye"
Sasa ni wakati muafaka wa kutaka kumjua zaidi muheshimiwa.
 
Mhh,hivi kumbe GT anaweza kuandika vitu cheap hivi? Duh,hapo umetupa mbao man!

Kwa hiyo tuanze kumchambua Mbowe aliyefeli ktk shule na biashara?

Hilo suala nadhani lilishatolewa ufanunuzi siku za nyuma.Kufilisika hoja ndiko kulikotufikisha hapa tulipo.Nadhani GT ni pacha wake Chinga maanake hata matusi huyo Chinga alikua akimwaga hapa ktk hali ya kushangaza mtu mzima kama Gt alikua akimbembeleza.

Sasa basi naomba GT ufafanue vizuri kuhusu hizo failure za huyo mheshimiwa
 
I cant believe eti na wewe umekuja kujadili huu mjadala.

Mnyika anasoma wapi na ansomea nini na nani anamlipia hayo masomo?

lakini zaidi ya yote hayo its good to see you around



Hivi kumbe wewe inabidi watu waanze kuignore post zako eeh? Eti Mnyika nasomeshwa na nani? kwani hili ni suala la kitaifa?

Hivi mkuu huoni forum ya udaku,nenda kamwage hizi pumba huko!

Halafu unamuuliza Zitto kama na yeye kachangia huu mjadala? Kwani yeye si free member anayeweza kuamua au kuacha kuchangia mjadala wowote?

Halafu si ulikua umesema watu wa-discuss? kwani kumbe mkuu ulikua umem-count out Mhe.Zitto? Si ungesema mapema basi? Eboh!
 
Hahahaha

Hii ya Mbowe nilipenda zaidi

watu tunaweza kureverse kwa kuanzia kuleee kwenye issue ya WAPUKI, mpaka kwenye tuhuma za kuuziwa magari ya wizi na akina Saleh Ziebi ( Range Rover Vogue new model) ili hali akijua kuwa ni la wizi huku London then atuambie kama kweli alideclare kiasi gani CHADEMA walipewa na Conservative (UK), kisha atuambie kwa nini anaona tabu kumsomesha JJ MNYIKA halafu tusisahau ule mkopo wa NSSF

this should be an interesting one...

Amsomeshe kwani Mnyika ni mwanaye? umeambia Mnyika ana shida ya ada? uzushi mwingine bwana kaa wa mama mkaanga chapati pale mbuyuni......
 
GT umeishiwa na umeshindwa kuweka vielelezo sahihi juu ya madai yako haya juu ya kufeli ,kushindwa biashara n.k.

Uzushi mwingine huu unapaswa kufanywa na watu ambao uwezo wao wa kufikiri ni kama wa Ngombe kwani kwa jinsi ngombe anavyokuwa ndio mhivyo akili zake huwa zinadumaa , na kuzidi kulalia kinyesi chake ......

Nilikuwa nakuamini kwenye mambo yako kumbe mengi ni chuki binafsi tuuu ,,,,,, toa evidence.
 
I have seen this before at JF, and I'm sure many of you have.

Huu ni mfano mzuri when "someone want to be rubbed on the right side".
GAME THEORY is enjoying it so much.


I used to play a multi-player computer game called "Call of duty".
(a first-person shooter video game based on the Quake III: Team Arena engine).​
I was playing it online against other guys.
While playing it you get such a rush and thrill, kiasi cha kutokwa jasho japokuwa it is just a game. The stimuli you get is so intense and very similar to actual real life stimuli. Some people play it in the dark rooms for more excitement.

GAME THEORY is having the same experience as you respond to his remarks.
Basically, he is rubbing some of you on the wrong side.

There is something called Internet addiction disorder, check it out. You may wanna see Video game addiction also to understand why someone would repeatedly do this. They talk about inappropriate involvement in online social networking sites or blogging.



.
 
I don't play it these days maana Internet is not fast enough hapa Bongo.
 
GT na Kana ka Nsungu
Mnatulazimisha tena kupoteza muda wetu kuwashambulia ninyi na tukaacha kujadili issues nyingi tu.

Lakini niwafahamishe tu kuwa ukiona mchezaji anakabwa uwanjani basi ujue huyo ana mpira. Hakuna mchezaji asiye na mpira wala ambaye hawezi kusababisha hatari ya kufunga au kufunga mwenyewe ambaye kamwe atakabwa.

Nafikiri ni muhimu Freeman akabwe kwani ndiye mwenye mpira. CHADEMA imemiliki mpira muda mwingi wa mchezo kwa nini wachezaji wake washambuliaji wasikabwe. GT na wenzako kazi kwenu kukaba. Hata penati kabeni. Hata mpira ukiisha endeleeni kukaba.

Ya leo kali.
 
Nadhani kufail shule na kufail kibiashara si viashiria vya uwezo wa mtu kuongoza watu. Kwa taarifa yako most of the greatest men ( and women) were the school dropouts.
Nafikiri tujaribu kuangalia uwezo wake wakuamua mambo na kusimamia sera za chama na mtazamo wake wa jumla juu ya hatma ya Tanzania na mtanzania.
Mimi binafsi sio mshabiki wake wala wa chama chake. Lakini naamini juu ya fikra sahihii na utekelezaji wake hautokani na mafanikio ya darasani (academic achievement ) wala biashara ( financial achievement).
 
GT na Kana ka Nsungu
Mnatulazimisha tena kupoteza muda wetu kuwashambulia ninyi na tukaacha kujadili issues nyingi tu.

Lakini niwafahamishe tu kuwa ukiona mchezaji anakabwa uwanjani basi ujue huyo ana mpira. Hakuna mchezaji asiye na mpira wala ambaye hawezi kusababisha hatari ya kufunga au kufunga mwenyewe ambaye kamwe atakabwa.

Nafikiri ni muhimu Freeman akabwe kwani ndiye mwenye mpira. CHADEMA imemiliki mpira muda mwingi wa mchezo kwa nini wachezaji wake washambuliaji wasikabwe. GT na wenzako kazi kwenu kukaba. Hata penati kabeni. Hata mpira ukiisha endeleeni kukaba.

Ya leo kali.

mchezaji mwingine kwa sababu ya udhaifu wa wazi alionao kiasi cha kuweza kugeuka uchochoro wa timu pinzani, mashabiki hawatakosa kupiga kelele aondolewe mchezoni,maana anahatarisha timu kwa mapungufu yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom