Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,788
- 218,420
Kama tulivyoahidi hapo awali kwamba tutawaletea hapa kila kinachoendelea kwenye ukombozi wa nchi unaoitwa Oparesheni 255, Okoa Bandari zetu.
Leo Freeman Mbowe amefika Nyarugusu , ambako wananchi wamemlazimisha kuitisha kura za wazi kuhusu Mkataba wa Bandari , Kama ilivyo kawaida yake Mh Mbowe Ametii amri hiyo ya Wananchi , na mara moja akaitisha kura hiyo.
Matokeo:
Waliokubali Bandari kuuzwa ni Sifuri , bali wananchi wote wametaka Mkataba huo uvunjwe haraka .