Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Pamoja na woga wangu juu ya COVID 19 na athari zake lakini bado nafsi inajawa hofu na hizi chanjo.....nikiutazama utaratibu wa research za chanjo hadi uizinishwaji wake na namna hili jambo linavyopelekwa msobe msobe na wanasiasa.......ngoja tuone...
Mbaya zaidi hata ughaibuni wenyewe bado hawana uhakika na chanjo yenyewe
 
Leo nimeenda kula restaurant kwa mara ya kwanza baada ya miezi 13 ya kutoweza kujichanganya.

Kwa uhuru nilioupata baada ya kumaliza wiki mbili toka kuchanjwa chanjo ya pili ya Pfizer.
Hongera sana ndugu kwa kuthamini uhai wako na mungu akubariki.
 
Ukiamua kutembea na mtu usiyemjua, una uamuzi wa kutumia kinga au kutotumia. Hakuna anaekulamisha. Hivyo hivyo kwa chanjo. Kama wewe hautaki usiwazuie wengine wasichanjwe hata kama wangependa kuchanjwa. Huo ni upuuzi na ukatili uliopitiliza.

Amandla...
Hawa mataga bado wana maruwe ruwe baada ya mfadhili wao kuwatoka
 
AstraZeneca ni chanjo ambayo kusaifirisha na kuitunza kwake ni rahisi zaidi.

Haupo ushahidi wa moja kwa moja kuwa ina madhara.

Hata inayosemekana kuwa ni madhara, ni kwa kiwango kipi?

Tunapatiwa ikiwamo chanjo hii bure kupitia COVAX.

Udalali wa Mbowe hapo uko wapi?
Wewe ndio unamuita Mkiti wako Dalali..Soma vizuri kwa utuo uone kama kuna neno nimetumia udalali..rudia vizuri kusoma
 
3B4CAE6D-530B-450C-9603-0AEA2D1B34CF.jpeg

It is just a joke! AstraZeneca riski ni very low...riski ya blood clot ni sawa na kusafiri kwa ndege!!
 
Back
Top Bottom