Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Ritz, omba kazi ya ushauri CDM.
 
Last edited by a moderator:
Watu wengi hasa wafuasi wa ccm wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa Dr Slaa ameporomoka kisiasa, wanalinganisha sasa na
lini? Maana Dr.Slaa aling'ara wakati wa uchaguzi,na sasa uchaguzi bado,unalinganisha
sasa na lini? Je ni kweli ameporomoka au ni uoga wa ccm juu ya Dr. na hivyo wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha kwamba ameporomoka kisiasa?
 
Sasa kama kaporomoka VPI Professor LIPUMBA ??? Yeye kafanya nini ??? Utapima ???
 
Hata huyu @Yericko kuna kipindi anajifanyaga ni mwanausalama, vijana wa CHADEMA wana matatizo sana!
Hahaha sasa hivi kajitoa muhanga na kusema ukweli na hajali tena kama atafukuzwa kazi!
 
Wamepimaje?Wametumia research ipi na walifanya wapi?Sampling method ya research yao ilikuaje.?Level of accuracy ilikuaje?Level ya Error ilikuaje? Hizo hadithi za Bar wasizoee tena kuzileta hadharani na kuziita tafiti.

Utafiti ni taaluma ambayo siku za karibuni wapika majungu,wazushi na hata walevi wamekua wakitumia misamiati hii ili waaminike na wapewe umuhimu wa kusikilizwa(Attention).
 
Watu wengi wamemfahamu Dr. Slaa kwenye uchaguzi 2010.Akatoa changamoto iliyokuja name msamiati "Chakachua matokeo".Sasa huoni kuna haja ya kusubiri uchaguzi 2015 ili tupime ameporomoka au la? Mrema tulimpima kwa chaguzi zilizofuata, lipumba halikadharika, iweje slaa tuanze kuaminishwa kabla ya uchaguzi.
 
Watu wengi hasa wafuasi wa ccm wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha kuwa Dr Slaa ameporomoka kisiasa, wanalinganisha sasa na
lini? Maana Dr.Slaa aling'ara wakati wa uchaguzi,na sasa uchaguzi bado,unalinganisha
sasa na lini? Je ni kweli ameporomoka au ni uoga wa ccm juu ya Dr. na hivyo wanatumia nguvu nyingi kutuaminisha kwamba ameporomoka kisiasa?

wote wanaosema Dk Slaa ameporomoka kisiasa ni ccm,kwa kumuogopa watu wenye busara na makini lazma watakuambia umaarufu wa Dk Slaa umepanda uwezi kumlinganisha na kiongozi yeyote wa ccm kwa sasa
 
Huwezi kulinganisha Mrema na MBOWE kutokana na ukweli kwamba CHADEMA kina matatizo makubwa hususani migogoro inayotokana na watu kukosa pa kusemea kwa vile Chama kinaonekana kuwa mali ya mtu, TLP hawana tatizo na mzee wao

TLP VS CHADEMA LO! Mrema mwenyekiti yeye, Mbunge yeye, sidhani kama ana madiwani zaidi ya kumi. CCM hamwezi kuwa na ugomvi na mtu kama Mrema wala Cheyo kwa sasa mlisha wamaliza tangu 2000.
 
Hawa magamba wana matatizo kweli yaani kwa makusudi na bila hata chembe ya aibu wanajaribu kuwachafua watu safi wasio na tuhuma yoyote ndani ya Chama na nje. Harafu eti wanamsafisha mtu kama lowassa sisi wapenzi wa Chadema na UKAWA tunawakubali manahodha wetu DR.SLAA na MBOWE maana ni mwiba kwa ccm.
 
Ritz una hofu na Dr Slaa kwa kuwa akiwa rais ata-review mkataba wa gesi uliowafaidisha wachina ili kukuokoa baada ya kukamatwa na unga.

Itabidi Dr Slaa akukabidhi tu kwa wachina unyongwe ili kusitisha huo mkataba. Hiyo ndo hofu inayokutafuna kwa sasa. Anza kukaa mkao wa kunyongwa.
 
Back
Top Bottom