Demokrasia maanake yake ni pana na ndefu. kama alivosema bwn ABRAHAM LINCOLIN.
NIRUDI kwenye mada nimeona namm kwa kuona umuhimu wa jambo hili nami nilitolee ufafanuzi. kuna tatizo limezuka ndani ya chadema ambapo kila ukitolewa upungufu wa either mh MBOWE au DK SLAA haufanyiwi kazi na kinachotokea ni kuitwa msaliti, mzandiki,ume nu nuliwa, umetumwa nk
KIMSINGI chadema kilikua chama mbadala kwa taifa enzi ya MH ZITO KABWE MH SLAA wakati wakiwa bungeni watu waliona umuhimu wa upinzani kwan hoja zilizotolewa bungeni zilikua nzito na serkali hata kama haikutaka ilibidi kufanyiwa kazi.
CHADEMA ilikuwa kisima cha demokrasia ambapo demokrasia na uhuru wa maoni wa ulipewa nafasi na chama kikawa na afya.
Bahati mbaya ni kuwa wakati ukombozi wa taifa ukikaribia wakapewa dhamana viongozi wakuu hawa MBOWE NA SLAA baada ya uchaguzi wa 2010 wakajawa na jeuri, kiburi, ubabe, na kumkandamiza yoyote ambae angetoa maoni tofauti na wao wanavofikiri,wakavunja msingi wa demokrasia, msingi wa demokraisia ukiuvunja huwezi tena kuwa credible.
Huwezi kufukuza kila unaetofautiana nae hata marekani OBAMA ALIFANYA KAZI NA HILARY CLINTON INGAWA WALIKUA WANATOFAUTIANA SANA KIMTAZAMO.
HIO NDIO DEMOKRASIA YA KWELI. NIONAVO KWA MWENENDO HUU WA VIONGOZI HAWA WATAINGAMIZA CHADEMA .
JIFUNZE HATA KWA MJINGA IKIWA ANA HOJA.