Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Wamepimaje?Wametumia research ipi na walifanya wapi?Sampling method ya research yao ilikuaje.?Level of accuracy ilikuaje?Level ya Error ilikuaje? Hizo hadithi za Bar wasizoee tena kuzileta hadharani na kuziita tafiti.

Utafiti ni taaluma ambayo siku za karibuni wapika majungu,wazushi na hata walevi wamekua wakitumia misamiati hii ili waaminike na wapewe umuhimu wa kusikilizwa(Attention).

kwa mantiki hiyo yeriko nyerere Ni mpika majungu toka bar?? Sasa nimeelewa mabavicha mmeanza tifuana tena kama kawaida yenu
 
wote wanaosema Dk Slaa ameporomoka kisiasa ni ccm,kwa kumuogopa watu wenye busara na makini lazma watakuambia umaarufu wa Dk Slaa umepanda uwezi kumlinganisha na kiongozi yeyote wa ccm kwa sasa

Aisee hii nchi ina watu wa ajabu sana, Nimeshangaa sana kuona hadi Yericko Nyerere kwenye bandiko lake anasema Eti Dr.Slaa kaporomoka kisiasa, dah! Hii dunia kweli kuna watu na viatu hivi karne kumbe bado kuna watu hawaoni impact ya huyu mzee kwenye harakati adhimu za mageuzi ya nchi hii hadi sasa?
 
Wamepimaje?Wametumia research ipi na walifanya wapi?Sampling method ya research yao ilikuaje.?Level of accuracy ilikuaje?Level ya Error ilikuaje? Hizo hadithi za Bar wasizoee tena kuzileta hadharani na kuziita tafiti.

Utafiti ni taaluma ambayo siku za karibuni wapika majungu,wazushi na hata walevi wamekua wakitumia misamiati hii ili waaminike na wapewe umuhimu wa kusikilizwa(Attention).

muulize yericko nyerere ndio amesema slaa kaporomoka kisiasa
 
Vijana wengi kwenye Siasa za Tanzania wanaingia kama ajira ndo maana wananunuliwa bei cheh kama co***ms alafu wanatupwa...... very shameful, and yes i know it is non of my business.
 
Aisee hii nchi ina watu wa ajabu sana, Nimeshangaa sana kuona hadi Yericko Nyerere kwenye bandiko lake anasema Eti Dr.Slaa kaporomoka kisiasa, dah! Hii dunia kweli kuna watu na viatu hivi karne kumbe bado kuna watu hawaoni impact ya huyu mzee kwenye harakati adhimu za mageuzi ya nchi hii hadi sasa?

yericko kaamua kusema ukweli, unafiki wake kauweka kando
 
Vijana wengi kwenye Siasa za Tanzania wanaingia kama ajira ndo maana wananunuliwa bei cheh kama co***ms alafu wanatupwa...... very shameful, and yes i know it is non of my business.

kwa hiyo yericko kanunuliwa?
 
Ukiona Jamaa kila kukicha anamsifia Mkeo, wakati Mwingine anasababisha ajali kwa kuduwaa pindi amuonapo Mkeo halafu akaja kwako kukushauri Umuache Mkeo eti kwakuwa ana mvuto utamfanyaje? ... Nimesema na narudia tena kusema: Mbowe, Slaa, Lissu kwetu ni Gladiators, Superman, Spiderman ... hao ni wakombozi wetu!!! CCM mkome kuishauri CHADEMA ... Washaurini Viongozi wenu Kuacha kuuza nchi kama afanyavyo Prof Tibaijuka kule Kigamboni! Komaeni mkatae Ufisadi wa Kukodisha Speakers kule BMK kwa zaidi ya 147 Millioni wakati hamna nguo za kubadilisha zaidi ya sare mlizopewa na CCM wakati wa Kampeni!!! Kataeni kuwa Mashoga kwa Msaada wa Watu wa Marekani! Kataeni Ujangili Unaofanywa na Viongozi wenu... Mshaurini M/Kiti wa CCM awe anatembelea Maneromango, kibugumo, Gamboshi badala ya kila siku kukimbilia Ulaya na marekani... Waambieni ukweli kuwa hamfurahii kuamishwa kwenye maeneo yenye migodi kwa risasi za Moto... Kataeni kuwa Wapumbavu, kataeni kuja kutumika humu jamvini kwa ujira wa mwiha!!! ...
 
Hilo sio bandiko la Yericko Nyerere kama kweli ni yeye basi moto unafukuta maana msemaji wa chama akiwa against Mkuu wake anaweza tumia media kummaliza kisisa mkuu wake... ha hiyo ndo USALITI WENYEWE kama ni kweli
 
Last edited by a moderator:
Funguka zaidi Mkuu maana hata mimi nimebaki mdomo wazi...au kuna mtu anatumia ID yake? Maana nasikia Lumumba mna mitambo ya kila aina... kwa hili ninajua hata ninyi mtakuwa mmesikitika sana kwani mko CCM kimaslahi zaidi lakini ndani ya nafsi zenu hamkubaliani na dhulma wanazofanyiwa wananchi wa Tanzania kuanzia Tanga hadi Mtwara, Dar hadi Kigoma.... Kilimanjaro hadi Mbeya ... Something is Wrong somewhere ...
Itakuwa walimuengua kwenye uchaguzi wao.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Ukiona Jamaa kila kukicha anamsifia Mkeo, wakati Mwingine anasababisha ajali kwa kuduwaa pindi amuonapo Mkeo halafu akaja kwako kukushauri Umuache Mkeo eti kwakuwa ana mvuto utamfanyaje? ... Nimesema na narudia tena kusema: Mbowe, Slaa, Lissu kwetu ni Gladiators, Superman, Spiderman ... hao ni wakombozi wetu!!! CCM mkome kuishauri CHADEMA ... Washaurini Viongozi wenu Kuacha kuuza nchi kama afanyavyo Prof Tibaijuka kule Kigamboni! Komaeni mkatae Ufisadi wa Kukodisha Speakers kule BMK kwa zaidi ya 147 Millioni wakati hamna nguo za kubadilisha zaidi ya sare mlizopewa na CCM wakati wa Kampeni!!! Kataeni kuwa Mashoga kwa Msaada wa Watu wa Marekani! Kataeni Ujangili Unaofanywa na Viongozi wenu... Mshaurini M/Kiti wa CCM awe anatembelea Maneromango, kibugumo, Gamboshi badala ya kila siku kukimbilia Ulaya na marekani... Waambieni ukweli kuwa hamfurahii kuamishwa kwenye maeneo yenye migodi kwa risasi za Moto... Kataeni kuwa Wapumbavu, kataeni kuja kutumika humu jamvini kwa ujira wa mwiha!!! ...

unazungumziaje suala la dr.slaa kuporomoka kisiasa alilosema yericko?
 
Yeriko Tunamfahamu achaneni nae,

Uzuri mwisho wa siku kasema Dr. Slaa anafaa kuwa Rais 2015
 
Back
Top Bottom