Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Moto of the Week
Adding Mbowe na Dr Slaa.

Mhe Lissu, Mbowe na Dr Slaa ni kama Chino yule Bouncer wa Mzee Mayuku (CHADEMA), they are our Gladiators, Spidermen, Supermen ...Wengi tunawategemea.
CCM Mkome Kuishauri CHADEMA na Iwe Mwisho baada ya Uzi huu.

Cc RockSpider

kwani yericko yuko ccm?
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi mmeyaona matunda ya mwl.KAIJAGE? Mbona hamsemi Jk a.k.a vasco dagama,ndiyo maana mmemhujumu hata kwenye mchakato wa katiba,hayo ndiyo matunda ya Div5,chadema kumbe ndicho chama tawala.
 
Wanajamvi mmeyaona matunda ya mwl.KAIJAGE? Mbona hamsemi Jk a.k.a vasco dagama,ndiyo maana mmemhujumu hata kwenye mchakato wa katiba,hayo ndiyo matunda ya Div5,chadema kumbe ndicho chama tawala.

hapa tunazungumzia slaa alivyoporomoka kisiasa,,by yericko nyerere
 
Magamba tunajuwa Dr Slaa na mh.mbowe ni tishio kubwa kwenu kwasababu hawanunuliki....sasa nyie tokweni na mapovu tuu ila Dr slaa na mh.mbowe hawatoki ng'oo mpaka kieleweke...

Magamba mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi
Mkuu Dr Slaa is a political dead horse, ameishiwa mabomu, amezeeka, hana jipya.
Hata akigombea ubunge Karatu anaweza kubwagwa!
 
Magamba tunajuwa Dr Slaa na mh.mbowe ni tishio kubwa kwenu kwasababu hawanunuliki....sasa nyie tokweni na mapovu tuu ila Dr slaa na mh.mbowe hawatoki ng'oo mpaka kieleweke...

Magamba mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi

Nikweli mkuu hii migamba inawaogopa sana hawa viongozi kwani niwatu vyuma.
 
Back
Top Bottom