Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Mbowe na Slaa wake wameshindwa uongozi

Unafiki haauna dawa Ritz, Ukiulizwa Mbowe na Mrema nani kachoka utasama Mbowe, Slaa na Cheo utadai Slaa kachoka! Slaa na Wasira? Siku utakapo wasifia kama mnavyo wasifia Cheo na Mrema tutajua kunashida. Kwa sasa endelea kukosa usingizi maana hawapumzike leo wala kesho!

Huwezi kulinganisha Mrema na MBOWE kutokana na ukweli kwamba CHADEMA kina matatizo makubwa hususani migogoro inayotokana na watu kukosa pa kusemea kwa vile Chama kinaonekana kuwa mali ya mtu, TLP hawana tatizo na mzee wao
 
Unafiki haauna dawa Ritz, Ukiulizwa Mbowe na Mrema nani kachoka utasama Mbowe, Slaa na Cheo utadai Slaa kachoka! Slaa na Wasira? Siku utakapo wasifia kama mnavyo wasifia Cheo na Mrema tutajua kunashida. Kwa sasa endelea kukosa usingizi maana hawapumzike leo wala kesho!
Haya maneno siyo yangu msome mwenzako hapa chini...
Ukija kwenye upinzani kati ya wagombea wote vinara wa UKAWA bado mgombea mwenye nafuu ni Dr Slaa tu, Pamoja na kuporomoka kwa Slaa kutoka 2010 hadi 2015 bado ndio mtu sahihi ukilinganisha na Mh Mbowe au Mbatia au Lipumba kwasababu mbalimbali ambapo nitazichambua nipatapo wasaa
Mimi utanionea bure tu kamanda.
 
Mods unganisheni uzi huu kule kwenye mada kuu,

Mleta mada anajaribu kuspin makala husika kwakuingiza maneno ambayo hayapo kwenye makala na kubadili mantiki ya nilicho kusudia,

cc Fang Moderator Invisible
Yeriko acha watu waoneshwe namna ambavyo hata nyie wenyewe msivyoridhishwa na mwenendo mzima wa viongozi wenu wakuu. Uzi huu unapaswa kutounganishwa kwa vile unaweka msisitizo wa kile ulichokiandika.
 
Wanaukumbi.

Muda mwingi tumekuwa tukiwafahamisha watanzania kuwa
Dr.W.Slaa
muda wake umekwisha kisiasa ni wakati wa kukaa pembeni na kuwaachia
vijana ndani ya Chadema wakijenge chama chao kimsingi Dr.Slaa
ameporomoka kisiasa kila kukicha watu walitushambulia sana na
kutukejeli, lakini ukweli hata ndani ya Chadema kwenyewe kuna baadhi ya
pro-Chadema wameliona hilo na wameliweka wazi humu JF mbele ya jamii na
kushauri sasa Mbowe na Dr.Slaa wafanye nini ndani ya chama.


Ukiangalia kiundani kwa sasa ndani ya Chadema kuna kuna mgogoro wa ndani
kwa ndani ambao viongozi wao hawayasemi.

fuatilia uongozi wa queen elizabethy wa uk
 
Mods unganisheni uzi huu kule kwenye mada kuu,

Mleta mada anajaribu kuspin makala husika kwakuingiza maneno ambayo hayapo kwenye makala na kubadili mantiki ya nilicho kusudia,

cc Fang Moderator Invisible
Kama nimeweka maneno yangu Mods wanipige life ban wakati unaandika ulizani watu hatukusomi na ushahidi wa bandiko lako huu hapa chini.
quote_icon.png
By Yericko Nyerere
Ukitazama mwenendo wa chaguzi nchini, Lyatonga ali drive uchaguzi 1995 hata kama alipoteza. Mwaka 2000 uchaguzi haukuwa na mvuto kwasababu Mkapa alionesha kutosha na upinzani haukuwa na nyota alyeibuka wala chama kilichokuwa na nguvu yakufanana na NCCR ya Mrema 1995 au kuzidi pamoja na mageuzi yote ya kidemokrasia.

Mwaka 2005 Jakaya Kikwete ali drive uchaguzi ule hasa kutokana na mwamko wa sera ya vijana na siasa za upinzani kuwa kwenye mageuzi ya ndani kimfumo, Utumizi mkubwa wa pesa na rushwa ya kisiasa kushamiri.

Mwaka 2010 Dr Slaa alifanikiwa ku drive uchaguzi katika mazingira magumu kwani alikuwa anashindana na rais anaetetea nafasi yake, tofauti na Lyatonga alivyoshindana 1995 ambapo Mkapa alikuwa mpya na hakujulikana, Slaa alivutia kwasababu alikuwa anatoka chama chenye agenda, cha vijana wengi waliopuuzwa na kudhalilishwa na ccm, Chama chake cha Chadema kilichonekana mbadala na yeye mwenyewe akitokea bungeni ambako alifanikiwa sana ktk agenda ya ufisadi hivyo alikuwa tishio kwa utawala wa kijana kikavu.

Mwaka 2015 naona mashaka ndani na nje ya ccm. Ndani ya ccm simwoni mgombea mwenye mvuto japo nusu ya ule wa JK wa 2005, wale wote wanaojipambanua kutaka kugombea ni wahanga wa uchafuzi ulioasisiwa 2005 wakati wa kumwingiza JK madarakani. Wamejeruhiana mno.

Ukija kwenye upinzani kati ya wagombea wote vinara wa UKAWA bado mgombea mwenye nafuu ni Dr Slaa tu, Pamoja na kuporomoka kwa Slaa kutoka 2010 hadi 2015 bado ndio mtu sahihi ukilinganisha na Mh Mbowe au Mbatia au Lipumba kwasababu mbalimbali ambapo nitazichambua nipatapo wasaa,

Kwa upande wa cdm, Slaa angegombea uenyekiti na John Mnyika akawa katibu mkuu, Mbowe awe mwenyekiti bodi ya wadhamini. Itamsaidia Slaa kupumzika.

Mnyika ana bidii na uwezo wa kusimamia utendaji na anakijua chama vizuri, Pia itaondoa dhana ya uchaga na uchu wa madaraka. Slaa hana compromise na govt. Pia itaondoa dhana ya katiba ilibadilishwa ili mbowe aendelee. Kikubwa Dr Slaa akiwa juu serikali itakuwa na wakati mgumu sana. Mnyika pia atamsaidia management, Mh Mbowe kuwa mwenyekiti wa baraza la wadhamini bado atakuwa ni super threat kwa govt tofauti na watu wanavyofikiri.

Dr slaa alipaswa asiwe anafanya kazi operational za chama. Dr slaa anahitaji team ya watalamu wa siasa na uchumi kutoka vyuo vikuu ama wale ma expart, media na research institution pamoja na watu wenye uzoefu wa nchi kama kina Butiku, Salim, Mtei, Jenerali Ulimwengu nk.

Iwe team ya kama watu 5 ambao wanakutana kila wiki kumshauri na kumpa updates za nchi. Wamtengenezee agenda. Ahutubie kila mwezi kutoa mwelekeo wa nchi. Kazi za utendaji wa chama amwachie mnyika kama katibu mkuu. Wanachama na viongozi wakate rufaa kwake sio yeye akafukuze sasa wakate rufaa kwa nani au wamlilie nan?
Dr Slaa kwenye chama ni zaidi ya kiongozi. Ndio moyo wa chama kwasasa. Hajatengenezwa mwingine bado wakufikia yeye japo jopo la vijana wa kariba yake linaiva wakiongozwa na Lisu, Lema, Mnyika nk.

Chama kimewatengeneza watu kama mnyika na wengine ili wawe viongozi dhabiti wa kisiasa wanaoweza kusimama wenyewe

Muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umeonyesha mtazamo chanya wenye turufu ya ukombozi, UKAWA Ikiwa namna hivi ilivyo miezi hii na ikawa na dhamira ya ukombozi wa nchi na kuamua kusimamia MGOMBEA urais mmoja, basi wagawane majimbo ili kudhibiti bunge.

Kati ya majimbo 189 bara, waamue NCCR iachiwe majimbo 20, CUF 20, na CDM 149. Kule zanz yale 50 CUF iachiwe yote.

Nccr ikipewa majimbo 20 haitashinda zaidi ya 10. Na 10 itakuwa kujazia ruzuku. CUF bara hawezi kushinda zaidi ya 5 na 15 itakuwa ruzuku. CDM haiwezi kushinda zaidi ya 70. Mengine itakuwa ruzuku. Na zanz kati ya 50, CUF inaweza kushinda 25. Hivyo jumla UKAWA itakuwa imeshinda( 25+5), 70, na 10. Jumla 110 Kati ya majimbo 239.

Halafu ACT kama ni (chama kweli) ikijipambanua na agenda na ikacha siasa za kutumika kuidhoofisha CDM inaweza kushinda hata majimbo 15 wakiwa sereous kwasababu wanayo nafasi ya kuvizidi nccr na cuf. Na hawa UDP na TLP wakapata jumla 2.

Upinzani kwa ujumla itakuwa na viti 127 kati ya 139. Hii ni zaidi ya nusu, Na hivyo serikali itabidi iwe ya mseto UKAWA, CCM NA ACT.
HUYU ACT ATAAMUA NANI WAUNDE SERIKALI KATI YA CCM AU UKAWA lakini kutokana na pressure ya Umma kutaka mabadiliko, ACT HAITAWEZA KUUNGANA NA CCM. ITAKUWA KAMA ILIVOTOKEA UK LAST ELECTION

Liberaldemocratic ilikuwa 3rd force lakn mwamuzi. Ingawa kiitikadi inafanana na labor lakini ililazimika kuungana na Conservative ambayo kinyume chake kabisa policy wise na Ndivyo Labor ilivotoka.

Hivyo hitimisho ni kwamba 2015 nchi haina mgombea kutoka chama Tawala, Wote ni majeruhi ndani na nje ya upinzani wafanye haya.
 
Ndo ukweli wenyewe, hebu tuleeteeni kule Yericko alikoanzia sio ku quote kijisehemu tu unataka tuchangie.
Amakimbia kwenda kuedit bahati mbaya sisi siku nyingi tuliliona ilo ndiyo maana nikacopy mapema kama ushahidi.
 
Wanaukumbi.

Muda mwingi tumekuwa tukiwafahamisha watanzania kuwa Dr.W.Slaa muda wake umekwisha kisiasa ni wakati wa kukaa pembeni na kuwaachia vijana ndani ya Chadema wakijenge chama chao kimsingi Dr.Slaa ameporomoka kisiasa kila kukicha watu walitushambulia sana na kutukejeli, lakini ukweli hata ndani ya Chadema kwenyewe kuna baadhi ya pro-Chadema wameliona hilo na wameliweka wazi humu JF mbele ya jamii na kushauri sasa Mbowe na Dr.Slaa wafanye nini ndani ya chama.


Ukiangalia kiundani kwa sasa ndani ya Chadema kuna kuna mgogoro wa ndani kwa ndani ambao viongozi wao hawayasemi.

Ritz,

Ni wafuasi na wanachama gani hao? Maoni ya mtu mmoja ni maoni ya wafuasi na wanachama?

Usiwe opportunist kiasi hiki mkuu.
 
Last edited by a moderator:
mjomba kwanini usinakili andiko lote badala ya kunakili mstari mmoja kama MAZINGE ?
 
Wanaukumbi.

Muda mwingi tumekuwa tukiwafahamisha watanzania kuwa Dr.W.Slaa muda wake umekwisha kisiasa ni wakati wa kukaa pembeni na kuwaachia vijana ndani ya Chadema wakijenge chama chao kimsingi Dr.Slaa ameporomoka kisiasa kila kukicha watu walitushambulia sana na kutukejeli, lakini ukweli hata ndani ya Chadema kwenyewe kuna baadhi ya pro-Chadema wameliona hilo na wameliweka wazi humu JF mbele ya jamii na kushauri sasa Mbowe na Dr.Slaa wafanye nini ndani ya chama.


Ukiangalia kiundani kwa sasa ndani ya Chadema kuna kuna mgogoro wa ndani kwa ndani ambao viongozi wao hawayasemi.

na mtaongea sana, sisi tunacharaza tu
 
We mwizi wa mada na mchonganishi. maccm hamuishi 'provocations'! Heeee leave CDM alone bhana. We are tired of you.
 
Back
Top Bottom