ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Chadema imeporomoka sana kwa kipindi kifupi cha miezi mitatu iliyopita. Chadema ya leo sio ile ya mwezi wa tano au wa nne. Wanachama wake wamepoteza matumaini na hawajiamini tena wala hawana ujasiri wa kuvaa sare na alama za chama hicho kama ilivyokuwa hapo nyuma.
mbaya zaidi ni wabunge kadhaa wa chadema kupinga wazi wazi misimamo ya chama.. Nitatoa mifano hai
1. Mh Said arf mbunge wa mpanda kati na aliyekuwa makam mwenyekiti kuunga mkono bajeti ya serikali ya mwaka 2014/2015.
2.mh leticia nyerere mbunge wa viti maalum kuhudhuria vikao vya bunge la katiba tofauti na msimamo wa chama hicho.
3.wanachama na viongozi wa ngazi mbalimbali kujiuzulu uongozi na uanachama.mf katibu wa chadema mkoa wa tabora,mwenyekiti na uongozi mzima wa mkoa wa kigoma, nk.
kwa matukio haya machache, ni ishara za wazi za mbowe na slaa kufika ukomo wa uwezo wa kiuongozi na kifikra.
my take: wanachadema wakikosa demokrasia ndani ya chadema wataitafuta nje ya hapo.