Wanaukumbi.
Muda mwingi tumekuwa tukiwafahamisha watanzania kuwa Dr.W.Slaa muda wake umekwisha kisiasa ni wakati wa kukaa pembeni na kuwaachia vijana ndani ya Chadema wakijenge chama chao kimsingi Dr.Slaa ameporomoka kisiasa kila kukicha watu walitushambulia sana na kutukejeli, lakini ukweli hata ndani ya Chadema kwenyewe kuna baadhi ya pro-Chadema wameliona hilo na wameliweka wazi humu JF mbele ya jamii na kushauri sasa Mbowe na Dr.Slaa wafanye nini ndani ya chama.
Ukiangalia kiundani kwa sasa ndani ya Chadema kuna kuna mgogoro wa ndani kwa ndani ambao viongozi wao hawayasemi.
na ccm hakuna mgogoro unafiki unawasumbua tuu ccm